Picha hizi ukiziona sehemu yoyote ni alama ya uwepo wa shetani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha hizi ukiziona sehemu yoyote ni alama ya uwepo wa shetani.
Na Shekh Alhaji Mussa Salum, wa Dar es Salaam ambaye ni mpiga debe wa JIWE ni nani? Je, naye ni mwanasiasa?Huyo ni wanasiasa sio sheikh...
Hatuna KKT bali tuna KKKT chini ya Jemadari Mkuu Askofu Dr. Frederick Shoo akiwa na watenda kazi wake mahiri wapendwa Maaskofu Dr. Benson Bagonza, Dr. Stephen Munga na wengine wengi ambao Jiwe hataki hata kuwasikia. Kuna Kipindi Jiwe alitaka kuifuta KKKT ila Mwigulu alimuwahi na kusema hawana shida ya kuifuta KKKT. Moto wake ungekuwa bab kubwa. Nchi haingekalika.Waraka wa KKT nani amaeandika,upo wapi?.
Hahaha mzee wa mizigoSheikh kipoozeo amesemaje yeye!?
Hujajibu swali mkuu, alafu acheni mambo ya vijiweni, jiwe alitaka kufuta Lutheran lini, huo waraka wa kkkt kuhusu corona upo wap?.Hatuna KKT bali tuna KKKT chini ya Jemadari Mkuu Askofu Dr. Frederick Shoo akiwa na watenda kazi wake mahiri wapendwa Maaskofu Dr. Benson Bagonza, Dr. Stephen Munga na wengine wengi ambao Jiwe hataki hata kuwasikia. Kuna Kipindi Jiwe alitaka kuifuta KKKT ila Mwigulu alimuwahi na kusema hawana shida ya kuifuta KKKT. Moto wake ungekuwa bab kubwa. Nchi haingekalika.
Mimi nilidhani amekubali abatizwe na kuwa mkristo kama hao KKKT.View attachment 1702454
Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania.
Amewaasa wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Corona .
Chanzo: MwanaHalisi Digital
Sheikh kipoozeo amesemaje yeye!?
Kipozeo yeye ni mizigo tuu hayo mengine hutasikia akitia neno,Sheikh kipoozeo amesemaje yeye!?
Ni haki gani hizo ambazo Waislamu wanazikosa na yeye anazipigania?View attachment 1702454
Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania.
Amewaasa wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Corona .
Chanzo: MwanaHalisi Digital
uko nyuma sana !Waraka wa KKT nani amaeandika,upo wapi?.
Kwani kama una shida na kuupata waraka si uombe tu usaidiwe? Au Mzee wako amekupa kazi ya kuutafuta? Mnataka muufanyie nini? Lumumba mna mambo nyie!Hujajibu swali mkuu, alafu acheni mambo ya vijiweni, jiwe alitaka kufuta Lutheran lini, huo waraka wa kkkt kuhusu corona upo wap?.
Kwani akibatizwa wewe m-lumumba unapata kiwewe gani?Mimi nilidhani amekubali abatizwe na kuwa mkristo kama hao KKKT.
Shekhe kapondwa anenaView attachment 1702454
Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania.
Amewaasa wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Corona .
Chanzo: MwanaHalisi Digital
Hilo ndo lamaana kwake haya mengine anahangaika bureeKwani akibatizwa wewe m-lumumba unapata kiwewe gani?
Jumuiya anayodai kuiwakilisha ilishamkana kitambo!!! ...Soma vizuri tena ameongea kwa niaba ya Waislam wa Afrika, ikiwemo na Libya