Akizungumza baada ya kutambulishwa kuwa Mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Sheria za Nchi zinapaswa kuwa sehemu ya kusaidia Wananchi na kuwalinda na haitakiwi kutumika kuwaumiza Wanaoitumikia Sheria hiyo