TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Tunahitaji Akili kama zako mkuu.
Chanzo Cha kifo chake kumbe ni ajali, mwendokasi.
Halafu watu wanaweka udini
 
Wanakutegeshea ajali ya gari technically kabisa, alafu wanazusha kuwannh Dua ili kupoteza ushahidi,so wana familia wanapaswa kufanya uchunguzi wa ajali
πŸ€”
 
Hata Yesu pia alisulubiwa na kuuliwa,na alisalitiwa na mwanafunzi wake,Yuda kwa biplane vya fedha
Zaburi 41
9 Msiri wangu tena niliyemtumaini, Aliyekula chakula changu, Ameniinulia kisigino chake

Zaburi 41
9 Msiri wangu tena niliyemtumaini, Aliyekula chakula changu, Ameniinulia kisigino chake.
 
Ni kama vile wakristo wanavyopigana vita sana mpaks wakamsulubu Yesu na kumuua.Yuda alikuwa mwanafunzi wa Yesu,alimsaliti Yesu kwa vipande vya fedha.Na mpaka leo Yuda anaitwa msmsaliti.
Mkristo gani anayepigana vita?

Tukio la Yudi kuitwa msaliti, ni kama kuonesha Usaliti sio kitu kizuri hasa kumgeuka mtu kwa sabaabu ya tamaaa za muda mfupi kama alivyofanya Yuda Escariot
 
Yesu mwenyewe alikuja akijua atasurubiwa... hilo tukio la kusurubiwa Yesu ni kitu kilikuwa kimeshapangwa.. Soma vizuri Biblia.... Yesu hakusurubiwa kwa sababu ya Alibadiri
Kama ilishapangwa Yesu afe kwa ajali ya kusulubiwa,mbona Yuda anaitwa Msaliti,badala ya kupongezwa kwa kitendo alichofanya,cha kupewa vipande vya fedha,na kumuonyesha Yesu,alikojificha
1.Yesu alijificha,asionekane na wauaji.
2.Aliomba kwa Mungu wake kikombe cha unmauti kimuepuke.
3.Aliyefanya mipango,aonekane aliko jificha,Yuda anaitwa msaliti.Kwa nini Yuda asipongezwe ka kutekeleza utabiri,analaumiwa
 
Wakati ukifika utaondoka tu.Yesu aliombewa maombi na nani,mbona alisulubiwa,na kuuliwa,na aliomba kwa Mungu wake,kikombe cha umauti,kimuepuke lakini hakikumuepuka.
Hakika muda ukifika unaondoka tu no matter what
 
Kuhusu kusomewa Dua mbaya Kisha unakufa hiyo kitu hakuna niliona msikiti flani waliiba spika za azana na vitu vingi vingi wakatangaza siku ya kusoma Dua wakasoma Dua ila wapi na mwizi kapata kazi migodini mambo yanaenda
🀣🀣
 
Ni kweli, kifo cha Yesu kilikuwa mpango wa Mungu wa milele kwa ajili ya wokovu (Matendo 2:23). Lakini hilo halimaanishi Yuda asingeweza kulaumiwa. Kwa nini?

Kwa sababu Yuda alichagua mwenyewe kitendo chake cha tamaa na usaliti.

Mungu hakumshurutisha Yuda asalit; alimjua tu mapema atachagua njia hiyo.

Hivyo basi, Yuda ni mtendaji wa dhambi yake, huku mpango wa Mungu ukitimia kupitia uovu wake.


Mfano: Kwenye Mwanzo 50:20 Yosefu alimwambia ndugu zake waliomsaliti

β€œNinyi mlikusudia mabaya juu yangu, lakini Mungu alikusudia mema.”

πŸ‘‰ Vilevile, Yuda alikusudia uovu (usaliti kwa fedha), lakini Mungu akaligeuza kuwa wokovu wa dunia.

Kwa sababu moyo wake haukuwa wa kumtii Mungu, bali wa kutafuta faida ya fedha (Mathayo 26:14-15).

Hakumsaliti Yesu kwa imani au utii, bali kwa tamaa na uovu.

Ndiyo maana Yesu alisema: β€œOle wake mtu yule ambaye Mwana wa Adamu anasalitiwa naye; ingekuwa heri kwake kama asingalizaliwa” (Mathayo 26:24).


πŸ‘‰ Kwa hiyo Yuda alitimiza unabii, lakini kwa nia mbaya. Kumbuka, kufanya jambo lililopo kwenye mpango wa Mungu siyo kigezo cha kupongezwa kama moyo wako ni wa dhambi.

Hii ilionyesha ubinadamu wake, si udhaifu wa Mungu. Alihisi uchungu na hofu kama mwanadamu, lakini aliendelea kutii hadi mwisho (Luka 22:42).

Ombi lile lilionyesha kwamba kifo chake hakikuwa mchezo au maigizo, bali mateso halisi yaliyolipia dhambi zetu.

Ni kweli aliwahi kuondoka mahali pa hatari (Yohana 10:39-40), kwa sababu saa yake bado haijafika. Lakini alipofika wakati ulioamuliwa na Mungu, hakujificha tena. Aliwaambia askari waliomtafuta: β€œMimi ndiye” (Yohana 18:5). Hapa tunaona kwamba alijitoa mwenyewe, siyo kushindwa.
 
Kobazi kumbe dua mbaya mbaya mnazielekeza kwa mungu wenu kwamba ajali mbaya impate duh πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ hii sio dini ilikuwa movement za mudi kupambana na wabaya wake ndiyo maana kobazi kupita na kichwa cha mtu na jambia hawaoni hatari yaani ni jambo dogo kwao.
 
Mkristo gani anayepigana vita?

Tukio la Yudi kuitwa msaliti, ni kama kuonesha Usaliti sio kitu kizuri hasa kumgeuka mtu kwa sabaabu ya tamaaa za muda mfupi kama alivyofanya Yuda Escariot
Ndio usaliti.mkubwa huo.Yesu qlisalitiwa na mwanafunzi wake mwenyewe Yuda
1.kwa kupewa vipende vya Fedha
2.Akawaonyesha maadui wa Yesu,alipo Yesu
3.Yesu akakamatwa,akabeshwa msalaba,akasulubiwa akauliwa
4.Kati ya huyo Sheikh,na Yedu nani kasalitiwa na mtu wake wa karibu,ni Yesu,Yuda alikuwa ni mwanafunzi wake
5.Mpaka leo,Yuda anaitwa msaliti,badala ya kupongezwa
 
Muislam ni ushetani
 
Mkifika middle east "UPENDO" huwa hamtaki hata kulitamka , ili kumlinda netanyahu noma sana
Wapalestina ni wavamizi hata Quran yenu inajua

Mnawachokoza waisrael mnataka wawachekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…