TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

No wonder waislamu hawapendani
Siyo waislam tu hata ndugu kwa ndugu linapokuja suala la pesa utu tunauvua na kujaa chuki in short binadamu hasa huku Africa hakuna anayefurahi akihisi au akimuona mwenzake akimuacha mbali kimaisha.
 
Ndio hivyo hata Yesu,aliomba kikombe cha umauti kimuepuke lakini hakikimuepuka alisulubiwa,na kuuliwa msalabani kwa mateso makubwa
 
Kabla uzi haujaanza kujadiliwa ungefuta hilo neno Albadili inawezekana hujui lina maana gani.
Albadili haiwezi kumpata mtu kwa kumchukia,huwa hasomewi mtu eti kwa vile ni adui yako au kwa vile unamchukia,huwa inasomwa baada ya jambo zito la uovu kufanyika hivyo albadili ikisomwa huwa inaenda kumdhuru mfanyaji wa hilo tukio yaani inasaka yenyewe mtuhumiwa halisi ila sio kwa kumtaja jina maana ukimtaja mtu jina na hajafanya uovu wowote mwisho wa siku inakurudia mwenyewe.
Sasa hapo ukisema eti walimsomea albadili kwa chuki haimake sense maana hiyo sio matumizi ya Albadili kumsomea na kumdhuru mpinzani wako
 
Kwahiyo hiyo Dua anayofanyiwa hapo apate ajali ni nini kama sio ALBADIL?😂😂
 
Uongo mtupu, dereva alifanya uzemne
 
Yohana 10
17 Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.

18 Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
 
Kusulubiwa kwa Yesu,ni.mfalatia Yuda,kwa hiyo Yesu kifo chake,kimetokana na malaria mwenzake.Japo Yesu alioombq kikombe cha umauti kuepuke kwa Mungu wake,lakini hakikumuepuka aliteswa,alikitwq mikuki,alitemewa mate,alisulubiwa akauliwa
Yohana 10
17 Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.

18 Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
 
Duh!..
 
Huu ushirikina tangu ukumbatiwe na masheikh uchwara uislamu umechafuka sana.
 
We twanga zako kitimoto na bia tu hayo majini sijui alibadili utayasikia kwa jirani tu
 
Mbona Yesu pia alifanyiwa maombi kwenye ukristo afe na akafa kwa kusulubiwa.Yuda ndio alisimania hayo maombi,na akapewa vipande vya fedha.Na yesu akasulubiwa na kufa kwa mateso.
 
Nimetafakari sana mada hii na mkasa huu.
Inakuwaje Ibilisi anajiinua kwa mtu anaye fanya kazi ya Mungu(Allah).
 
Kwa kwa hilo jambo,watavuna waumini wa kutosha
 
Siwezi kujibu hilo maana ni mambo ya kukisia tu,wapambe tu wanaungaunga maneno ni jambo lisilo na uhakika
ALBADIL ipo Mzee, huoni hapo Dua aliyoombewa na aliipost mwenyewe
 
Mbona Yesu pia alifanyiwa maombi kwenye ukristo afe na akafa kwa kusulubiwa.Yuda ndio alisimania hayo maombi,na akapewa vipande vya fedha.Na yesu akasulubiwa na kufa kwa mateso.
Yesu sio muhamad aliyerogwa

Marko 1:27
“Wote wakashangaa, hata wakaulizana wao kwa wao, wakisema, Ni nini hii? Mafundisho mapya! Kwa mamlaka! Hata pepo wachafu anawaamuru, nao wanamtii.”

Yohana 11:25
“Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa, ataishi.”
 
Ni sahihi kabisa, alipata ajali kama ajali nyingine.

Huyu anayejiita hamis ndiyo fitna mkubwa wa dini ya kiislamu kwa kujidai kuandika historia ambazo haziko sahihi
Basi na yeye asomewe albadili ili abadilike aache fitna juu ya dini,au albadili haitumiki kuomba dua njema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…