TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Ndio hivyo hata Yesu,aliomba kikombe cha umauti kimuepuke lakini hakikimuepuka alisulubiwa,na kuuliwa msalabani kwa mateso makubwa
Isaya 53
5 Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

6 Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na Bwana ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.
 
Ni sahihi kabisa, alipata ajali kama ajali nyingine.

Huyu anayejiita hamis ndiyo fitna mkubwa wa dini ya kiislamu kwa kujidai kuandika historia ambazo haziko sahihi
Unabishana na marehemu aliyepost video akiombewa albdil?
 
Swali ni je hiyo Alibadiri mnaiomba kwenda Jini au Karumanzila yupi? Maana sisi wakristo hatuamini katika maombi ya kumtoa mtu roho, tunaamini huo ni ushetani
Yesu alifanyiwa maombi na mwanafunzi wake Yuda na akalipwa vipende vya fedha,ili Yesu asulubiwe na kuuliwa.Na Yesu,juu ya kujificha kote,nabmuomba Mungu wake kikombe cha umauti kimuepuke,lakini hakikimuepuka,akateswa,akadhihakiwa akatemewa mate qkasulubiwa,akauliwa msalabani
 

Imani inyoweza muombea mtu mabaya yakatokea bila sababu ni ya kishetani
 
Unabishana na marehemu aliyepost video akiombewa albdil?
Yesu pia aliombewa na Yuda,afe kwa vipande vya fedha,na Mwenyewe Yesu,alimwambia Yuda,kabla jogoo hajawika mara ya tatu,utanisaliti.Lakini nyinyi wakristo mnanishana na marehemu Yesu,kuwa ulitabiriwa utauliwa
 
Usaliti wa Yuda haukuwa maombi ya kumwombea Yesu auawe, bali ulikuwa tamaa ya fedha na uovu wa moyo wake (Mathayo 26:14-16). Yesu hakusalitiwa kwa kushindwa, bali alijitoa kwa hiari (Yohana 10:17-18). Ndiyo maana hata alipoteswa na kudharauliwa, alikuwa akitimiza unabii wa manabii (Isaya 53:3-7).

Alipoomba kikombe cha mauti kimuepuke, alionyesha ubinadamu wake, lakini akaendelea kutii mapenzi ya Baba kwa hiari yake (Luka 22:42).

Kifo chake kilikuwa si kushindwa, bali ushindi wa wokovu.
 
Yesu pia aliombewa na Yuda,afe kwa vipande vya fedha,na Mwenyewe Yesu,alimwambia Yuda,kabla jogoo hajawika mara ya tatu,utanisaliti.Lakini nyinyi wakristo mnanishana na marehemu Yesu,kuwa ulitabiriwa utauliwa
Isaya 53
10 Lakini Bwana aliridhika kumchubua; Amemhuzunisha; Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu kwa dhambi, Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi, Na mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake;

Yohana 10
17 Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.
 
Kama Yuda,alivyomuombea Yesu,afe,kwa kulipwa vipende vya fedha,baada ya kuomba,na Yesu yakampata ya kusulubiwa na kuuliwa.
Yuda hakumuombea Yesu afe, bali alimuuza kwa tamaa ya fedha (Mathayo 26:14-16).

Maandiko yanasema wazi kwamba alikuwa msaliti, si mwombaji. Kifo cha Yesu hakukuja kwa sababu ya maombi ya Yuda, bali kwa mpango wa Mungu uliotabiriwa zamani (Isaya 53:5; Matendo 2:23).

Yuda alifanya dhambi kwa tamaa, lakini Mungu akautumia uovu wake kukamilisha wokovu wa wanadamu.
 
Kama ni ushindi wa uokovu kwa nini Yuda anaitwa msaliti,badala ya kupongezwa,kufanikisha uokovu.
 
Kama ni ushindi wa uokovu kwa nini Yuda anaitwa msaliti,badala ya kupongezwa,kufanikisha uokovu.
Yuda hakuitwa msaliti kwa sababu matokeo ya kitendo chake yalileta wokovu, bali kwa sababu nia yake ilikuwa tamaa na uovu (Mathayo 26:14-15). Mungu alitumia uovu wa Yuda kukamilisha mpango wa wokovu, lakini hiyo haimfanyi Yuda kuwa shujaa.

Ni kama ndugu za Yosefu walivyomuuza utumwani – wao walikusudia mabaya, Mungu akageuza kuwa mema (Mwanzo 50:20). Vivyo hivyo, Yuda ni msaliti kwa kuchagua dhambi yake mwenyewe, hata Petro alimkana Yesu ila alitubu .

KARIBU KWA YESU TOKA KWENYE MAJINI
 
Kwa nini Yuda,aitwe msaliti,na mpaka apokee rushwa ya vipande vya fedha ndio hayo yakusulubiwa yafanyike.Kwa hiuo uokovu wa kikristo ni kwa kupitia njia za rushwa.Na Yuda kuitwa msaliti.
 
Kwa nini Yuda,aitwe msaliti,na mpaka apokee rushwa ya vipande vya fedha ndio hayo yakusulubiwa yafanyike.Kwa hiuo uokovu wa kikristo ni kwa kupitia njia za rushwa.Na Yuda kuitwa msaliti.
Mpango wa Mungu ulikuwa Yesu afe kwa ajili ya dhambi za ulimwengu (Isaya 53:5, Matendo 2:23).

Nia ya Yuda ilikuwa tamaa na upendo wa fedha (Mathayo 26:14-15, 1 Timotheo 6:10).


Mungu hakuwahi kuagiza rushwa; bali Yuda kwa chaguo lake mwenyewe akakubali pesa na akamsaliti Yesu. Hilo ndilo linafanya aitwe msaliti.

Mfano rahisi, ndugu za Yusufu walimuuza utumwani kwa tamaa na wivu (Mwanzo 37:28), lakini Mungu akageuza tukio hilo kuwa njia ya kuokoa taifa lote la Israeli (Mwanzo 50:20).

Hii haimaanishi kuuza Yusufu kulikuwa tendo jema Bali ilikuwa dhambi ila Mungu hutumia hata uovu wa watu kutimiza mpango wake mkuu.

👉 Hivyo basi, wokovu wa Kikristo haukuletwa kwa “rushwa,” bali kwa damu ya Yesu Kristo.

Rushwa ya Yuda ilikuwa dhambi yake binafsi, na ndiyo maana anabaki kuitwa msaliti, si shujaa.


KARIBU KWA YESU TOKA KWENYE MAJINI
 
Hayo majini aliyotumia Yuda mpaka Yesu akaonekana na kusulubiwa na kuuliwa.Karibu utoke huko kwenye,majini ya Yuda,na yaliyomshinda Yesu mpaka akasulubiwa kwa vipande vya fedha,alivyopewa Yuda kwa kutumia majini yake kumuona Yesu alipo,na kusulubiwa na kuuliwa.
 
Mimi sio muislam lakini mbona nasikia al badri haifanyi kazi kama sio haki huyo mtu apate madhara?kwa sababu ulizoweka kuwa ndio zilifanya asomewe al badri mbona sio? Kama hio ajali imetokana na hiko kisomo alichofanyiwa basi ni sawa kusema ali logwa
 
Mimi sio muislam lakini mbona nasikia al badri haifanyi kazi kama sio haki huyo mtu apate madhara?kwa sababu ulizoweka kuwa ndio zilifanya asomewe al badri mbona sio? Kama hio ajali imetokana na hiko kisomo alichofanyiwa basi ni sawa kusema ali logwa
Hawa jamaa kama huwajui huwez kujua mengi, Albdali ni sawa na uganga ,na MASHEIKH wale waganga wanatumia albadili ,

Hapo unatumiwa Jini ,kumbuka wenzetu wanafuga majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…