TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Kitabu cha majini kinaweza tumika pia kuombea watu mabaya?!!
 
Ondoka huko kwenye majini ya Yuda,aliyepewa vipande vya fedha,ili atumie majini yake,awaonyeshe maadui wa Yesu,alipo Yesu.Wakamuona na kumsulubu na kumtesa,na kunuua.Juu ya kuwa aliomba kikombe chav umauti , kimuepuke lakini hakikumueupuka,kutokana na nguvu za majini ya Yuda .
 
hamna hiyo kitu albadili hata useme nini
Hizi sura ndio zinatumika kurogea watu

Ayatul Kursi (Al-Baqarah 2:255) na

Sura Al-Falaq (113) na An-Nas (114)


Wanatumia hii mistari, lakini wanaitumia kwa nia ya kumdhuru mtu

Wanaamini kwamba kuandika au kusema aya fulani mara 7, 21, 40, au 100 kunaweza kuumiza mtu.
 
MAJINI WANATUMIA WAISLAMU NA MUHAMMAD ALIYASILIMISHA KULE MECCA

Yuda hakutumia “majini” au nguvu za ajabu; alimsaliti Yesu kwa tamaa ya fedha (Mathayo 26:14-16).

Kifo cha Yesu hakukuwa matokeo ya uchawi, bali kilitimia mpango wa Mungu wa wokovu (Isaya 53:5; Yohana 10:17-18).

Yesu aliomba kikombe cha mauti kimuepuke kama mwanadamu aliyebeba mateso, lakini alitii mapenzi ya Baba kwa hiari yake, akitimiza unabii na kuleta wokovu kwa wanadamu.
 
Kama Yuda alivyoitumia Injili,kwa kuonekana Yesu na kusulubiwa na kuuliwa,kwa vipande vya fedha
 
Hiyo tamaa ya fedha ndio majini yenyewe.Yesu alibebwa juu kwa juu na majini walampandisha mlimani,na kumwambia tuwe na wewe,tutakups vyote hivi.Kwa hiyo Yesu alishindwa na majini,wakambeba juu kwa juu.
 
Kama ilivyo Biblia na Injili ya Yesu ,inavyofundisha majini,ndio aliyatumia Yuda,kuminyesha Yesu yuko wapi,na kukamatwa na kuteswa na kusulubiwa na kuuliwa.
MAJINI ni waislamu Mzee,

Sura Al-Jinn 72:1-2
“Majini waliosikia Qur’an wakasema, ‘Tumesikia Qur’an ya ajabu; inatuongoza kwenye haki. Kwa kweli tumeamini; basi hatutamsaidia yeyote isipokuwa Allah.’”

Hii inathibitisha majini walisilimu na kukubali Qur’an.
 
Atakuwa Sule kamtupia majini.
 
Hiyo tamaa ya fedha ndio majini yenyewe.Yesu alibebwa juu kwa juu na majini walampandisha mlimani,nq kunwambia tuwe na wewe,tutakups vyote hivi.Kwa hiuo Yesu alishindwa na majini,wakambeba juu kwa juu.
Unatia huruma kupamabania hii dini ya majini na shirki
 
Hiyo tamaa ya fedha ndio majini yenyewe.Yesu alibebwa juu kwa juu na majini walampandisha mlimani,na kumwambia tuwe na wewe,tutakups vyote hivi.Kwa hiyo Yesu alishindwa na majini,wakambeba juu kwa juu.
Mzee mbona unatia sana huruma ,unapambania dini ya majini
 
Hawa jamaa kama huwajui huwez kujua mengi, Albdali ni sawa na uganga ,na MASHEIKH wale waganga wanatumia albadili ,

Hapo unatumiwa Jini ,kumbuka wenzetu wanafuga majini
Nime kuelewa mkuu
 
Atakuwa Sule kamtupia majini.
Sule alisema yeye anafuga majini

Kuna kipindi kina Kishki walimletea shida aliwapiga mkwara

Sule anasema yanamletea sana Pesa
 
Yuda alitumia vipande vya fedha,akamroga Yesu,akaonekana qlikojificha,akachukuliwa akateswa,akasulubiwa,akauliwa
 
Hii ndio sababu tunatakiwa sana tuombee biashara zetu na familia zetu kuna majamaa hata hatuyajui yanatukalia kamati tusande,
 
Hawa jamaa kama huwajui huwez kujua mengi, Albdali ni sawa na uganga ,na MASHEIKH wale waganga wanatumia albadili ,

Hapo unatumiwa Jini ,kumbuka wenzetu wanafuga majini
Hata wakristo wanatumia majini kama Yuda,alivyotumia majini,kwa kuonekana Yesu,akakamatwa akateswa,akasulubiwa akauliwa.Yuda kwa kazi hiyo ya majini alilipwa vipande vya fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…