Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

Me nilimkubali kipoozeo alituahabarisha kwamba peponi Kuna pombe tamu kuliko ile ya harusi ya kana
 
Mbona umeludi kulekule Kwa shekhe wko''kwa hayo maneno yko inamaana kimo kifupi siyo halali peponi"
Peponi mtu anakuwa na umbo jipya zuri na lenye kufutia kwa maana hata akiwa amekufa mlemavu ,Mzee nk anarudi katika umbile safi la ujana .

Kuhusu kimo habari hizo sijazihakiki bado hapo siwezi kusema kama kasema ukweli au kapatia ila generally ni kwamba hakutokuwa na huzuni ,kinyongo ,chuki Wala husda kila mtu atafurahia hali atakayo kuwa nayo na mambo atakayo yakuta .

Tukirudi katika umbile mtu atakuwa katika umbile bora kabisa kushinda la huku duniani maana ikiwa ufupi sio umbo Bora na kuvutia na mtu amezaliwa na kufa katika hali hiyo basi anabadilishwa katika umbile jipya ambalo linaendana na hadhi ya peponi, sasa tukirudi kwa mleta mada yeye kamaanisha kuwa Sheikh kasema mtu akiwa mfupi haendi peponi kitu ambacho ni absolutely wrong.
 
Jifunze kufuatilia kitu kwa umakini , huyo Sheikh kaamaanisha kuwa watu peponi watakuwa katika umbile jipya kwa maana mtu hata akiwa mfupi atakuwa umbo la urefu , mbaya kuwa umbile na sura ya kuvutia ,kinyongo kuwa roho safi vinyongo vyote kutolewa nk.. hapo amezungumza kwa njia ya utani tu.
Sasa yeye alikuwa atoe tamko vizuri. Sio kuwaambia watu hivo.
 
Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.

Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule.

Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
View attachment 2948976
Mtoa mada ulitakiwa muulize kwanza, juu ya hali za peponi. Ni sawa na mtu aseme peponi hakuna wazee.

Maana yake watako ingia peponi watabdalishwa maumbile na wote watakuwa umri wa ujana. Yaani hapatakuwa na mzee, kwa maana ya kubadilishwa maumbile.

Kwa minajili hiyo maana ya maneno yake ni kuwa patakuwa na watu kimaumbile ni warefu, endapo kama hiyo hadithi imethibiti kweli.
 
Hamna shekhe hapo. Pepono watu wote wanakuwa na height sawa. Asiseme mtu mfupi ni marufuku
 
Ni kweli mkuu?

Yaani nisipokufa kafiri nitaenda peponi na kukabidhiwa wanawake wengi kabisa mabikra kazi yangu kuwashughulikia tu?
Kwa nini umeshiklia kushughulikia mabikira tu wakati hata hapa duniani watu wengi wanakula kimasihara daily ? peponi Kuna vitu vingi vya ambavyo huku duniani tunakosa mfano;
1.Kukutana na wako Mlezi live.
2.Kutopata adha, kero wala udhia wowote
3.Kutoenda Motoni
4.Kutokuwq na huzuni
5.KutokuwepoChuki ,vinyongo na husda
6.Amani na furaha ya milele.
7.Nk

Peponi Kuna vitu vingi vizuri kalamu hatoshi kuelezea maadui wa Uislamu wanachukua point Moja ya Mabikira kuipaka rangi na kufanyia mzaha kwa kukejeli mambo ya Waislamu wakati hata huku duniani miongoni mwa starehe kubwa ni hiyo ,sasa peponi ndio kilele Cha starehe ,fuhara na amani itakosa kweli ? mtu ajizuilie na zinaa mwisho afe na utamu wake Kisha peponi awe anakula na kulala hiyo ni haki kweli ?
 
Jifunze kufuatilia kitu kwa umakini , huyo Sheikh kaamaanisha kuwa watu peponi watakuwa katika umbile jipya kwa maana mtu hata akiwa mfupi atakuwa umbo la urefu , mbaya kuwa umbile na sura ya kuvutia ,kinyongo kuwa roho safi vinyongo vyote kutolewa nk.. hapo amezungumza kwa njia ya utani tu.
Hayo umeyatoa wapi mkuu. Tunaenda na maandiko kwamba watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Wewe hiyo ya kuwa na kimo sawa umeyatoa wapi?
 
peponi watu watakuwa warefu kama watu wa zama zilizopita ndiyo acho maanisha
Hii tafsiri umeitoa wapi, yeye anazungumzia watu wafupi wa kimo. Wewe hayo ya watu wote watafanywa kua warefu umeitoa wapi?
 
Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.

Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule.

Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
View attachment 2948976
😂😂😂😂 Peponi tutapewa Mili mipya tutakuwa Matall ma giant so No wafupi.... ndo alichokuwa anaelezea hapa ila clip aijakamilika..
 
Itafika wakati watu wataachana na imani za kipuuzi kama hizi. Watu wengi duniani wamedanganyika na kuamini mafundisho ya uongo
Cha ajabu haya tunaambiwa ni maneno ya Allah mwenyewe, maneno haya alimshushia mtume. Unajiuliza hii dini watu wako sawa kweli upstairs?
 
Ukweli unazidi kijidhihirisha kuwa wana wa Allah kichwani empty kama kopo la dawa ya kuulia mbu iliyoisha
 
Hayo umeyatoa wapi mkuu. Tunaenda na maandiko kwamba watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Wewe hiyo ya kuwa na kimo sawa umeyatoa wapi?
Weka Hilo andiko linalosema hivyo navunja simu yangu sasa hivi na najiondoa rasmi Jf..

Tatizo Lile Lile hamfuatilii Wala kudadisi mambo kwa makini , huyo Sheikh yeye katoa andiko kuwa peponi watu watakuwa warefu wa kimo fulani(sijui kama Hilo andiko sahihi) sasa kutokana na andiko Hilo basi peponi kutakuwa na modification yaani watu watakuwa na umbile la urefu kama alivyodai , sasa katika kusherehesha na kunogesha ndio akasema watu "Wafupi marufuku peponi" kwa maana ya kwamba watakuwa warefu na sio kwamba andiko analodai linasema kama alivyosema neno Hilo marufuku lipo bali ni swaga zake tu.

Mfano rahisi ni mtu aseme mtu asiyejua kusoma ni marufuku kuanza la kwanza ,hapo haina maana kwamba mtoto asiyejua kusoma basi akachunge Ng'ombe na kuvutia bange kama Maghayo The Mongo bali anaweza kupitia kwa mwalimu au wazazi Wak mtrain akajua kusoma hatimaye akajiunga primarily school hiyo ni sawa na mfupi kupata modifications akawa na umbile la urefu unaotakiwa peponi akaenda akapelekwa peponi.
 
Back
Top Bottom