mutteek
Member
- Mar 3, 2024
- 12
- 11
😂😂😂huyu sheik kinacho msumbua fangasi za ubongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂huyu sheik kinacho msumbua fangasi za ubongo
Kwa hiyo sisi wafupi na komenti zetu ni fupifupi? Mkuu acha dharau.Na umeona wafupi walivyochachamaa na Koment zao fupi fupi.
Peponi mtu anakuwa na umbo jipya zuri na lenye kufutia kwa maana hata akiwa amekufa mlemavu ,Mzee nk anarudi katika umbile safi la ujana .Mbona umeludi kulekule Kwa shekhe wko''kwa hayo maneno yko inamaana kimo kifupi siyo halali peponi"
Unashindana na mistari tukufu wewe!Hamna shekhe hapo. Pepono watu wote wanakuwa na height sawa. Asiseme mtu mfupi ni marufuku
Sasa yeye alikuwa atoe tamko vizuri. Sio kuwaambia watu hivo.Jifunze kufuatilia kitu kwa umakini , huyo Sheikh kaamaanisha kuwa watu peponi watakuwa katika umbile jipya kwa maana mtu hata akiwa mfupi atakuwa umbo la urefu , mbaya kuwa umbile na sura ya kuvutia ,kinyongo kuwa roho safi vinyongo vyote kutolewa nk.. hapo amezungumza kwa njia ya utani tu.
Mtoa mada ulitakiwa muulize kwanza, juu ya hali za peponi. Ni sawa na mtu aseme peponi hakuna wazee.Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.
Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule.
Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
View attachment 2948976
Mkuu hutamjuaje mtu mfupi?Kwa hiyo sisi wafupi na komenti zetu ni fupifupi? Mkuu acha dharau.
Kwa nini umeshiklia kushughulikia mabikira tu wakati hata hapa duniani watu wengi wanakula kimasihara daily ? peponi Kuna vitu vingi vya ambavyo huku duniani tunakosa mfano;Ni kweli mkuu?
Yaani nisipokufa kafiri nitaenda peponi na kukabidhiwa wanawake wengi kabisa mabikra kazi yangu kuwashughulikia tu?
Si amesema eti na komenti zake ni futi, kwa hiyo unaangalia komenti tu.Mkuu hutamjuaje mtu mfupi?
Hii umeitoa wapi mkuu. Sheikh amenukuu maandiko, wewe haya umeyatoa wapi?Hamna shekhe hapo. Pepono watu wote wanakuwa na height sawa. Asiseme mtu mfupi ni marufuku
Hayo umeyatoa wapi mkuu. Tunaenda na maandiko kwamba watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Wewe hiyo ya kuwa na kimo sawa umeyatoa wapi?Jifunze kufuatilia kitu kwa umakini , huyo Sheikh kaamaanisha kuwa watu peponi watakuwa katika umbile jipya kwa maana mtu hata akiwa mfupi atakuwa umbo la urefu , mbaya kuwa umbile na sura ya kuvutia ,kinyongo kuwa roho safi vinyongo vyote kutolewa nk.. hapo amezungumza kwa njia ya utani tu.
Maandiko ya Allah S.A.W yanasema wazi ni ufupi wa kimo sio wa imani. Watu wafupi wote ni marufuku kukanyaga Peponi. Allah hatawapokea.Wafupi kiimani
Leta ya kwako ya ukweli. Sisi tunaomuamini Allah na Mtume wake tunaamini alichokisema kwamba watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.Mafundisho ya uongo
Hii tafsiri umeitoa wapi, yeye anazungumzia watu wafupi wa kimo. Wewe hayo ya watu wote watafanywa kua warefu umeitoa wapi?peponi watu watakuwa warefu kama watu wa zama zilizopita ndiyo acho maanisha
😂😂😂😂 Peponi tutapewa Mili mipya tutakuwa Matall ma giant so No wafupi.... ndo alichokuwa anaelezea hapa ila clip aijakamilika..Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.
Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule.
Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
View attachment 2948976
Cha ajabu haya tunaambiwa ni maneno ya Allah mwenyewe, maneno haya alimshushia mtume. Unajiuliza hii dini watu wako sawa kweli upstairs?Itafika wakati watu wataachana na imani za kipuuzi kama hizi. Watu wengi duniani wamedanganyika na kuamini mafundisho ya uongo
Weka Hilo andiko linalosema hivyo navunja simu yangu sasa hivi na najiondoa rasmi Jf..Hayo umeyatoa wapi mkuu. Tunaenda na maandiko kwamba watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Wewe hiyo ya kuwa na kimo sawa umeyatoa wapi?