INDEED!Mm ni mlutheri ila nakubaliana na wewe!katoliki mna mifumo imara sana!licha ya kuwa haikosi mapungufu lkn ina afadhali!sijawahi kusikia sijui kanisa katoliki fulani kuna ugomvi wa madaraka kati ya askofu na askofu etc!ila huku KKKT tafrani tupu!uchaguzi wa askofu haukosi makandokando!yaani shida tupuShida waislamu wanaamini adui wao wakubwa kabisa ni hapa duniani ni wakristu hivyo huacha kujiahangaikia wao na kutazamia kuwananga wakristu na kuwasilimisha
Hali ni tofauti kabisa kwa wakristu hasa wakatoliki hawana muda na wengine wao huchapa kazi tu na kujiimarisha kwa kila nyanja na kamwe hawapungui kwa namba, kwa mahitaji, kwa maarifa na kwa ustawi
Wakatoliki ni imara sana Wana mfumo mzuri sana wa kimaisha, na hata hizi jumuiya zao huwa zinawabeba ndugu zao wenye changamoto za kimaisha
Hakuna padre tajiri ila hakuna padre anayekosa hitaji lake lolote la msingi kwa kuwa ni mifumo ndiyo inayoendesha taasisi, kwenye ukatoliki hakuna kubwa kuliko mwenzio na wala hakuna asiye na umuhimu
Tatizo majirani zetu hawa mabahili sana!wanaona wivu hata kuchangia hata viongozi wao wa dini!
Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
Kwan iwe raisi kiongozi wa dini kujiingiza kwenye uganga baada ya kufeli kwenye dini? Kwamba hapa kuna ukaribu sana wa dini na uganga? Em weka mambo Sawa.Matajiri wa kiislamu ni shida na ma shekhe nao pia shida yani huyu analingia elimu ya dini aliyonayo na tajiri wa kiislamu alingia pesa alizonazo basi ni balaa tupu thus y ma shekhe wengi wanajiingiza kwene uganga mara watu wa visomo mara makombe aisee kama huko unguja karibia kila muadhiri ni mganga aisee
Mashekh wengi ni elimu ya ngumbalu, huwezi, kukuta msomi wa, chuo, ni, shekh,Wakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
Pumba tupuKaka usidanganywe na unayosimuliwa kwenye vijiwe vya biashara. Theolojia wanasoma na wana Phd za taaluma nyingine nyingi tu hata uchumi pia. Vyuoni kuna Mapadri wengi tu wanafundisha. Umewahi kutembelea kambi za jeshi na seminari? Ukibahatika utathibitisha hiki ninachokuambia.
Kwetu sisi ukiimasta Elimu ya Darasa na ya dini inaenda pia sababu simpo tu tunatumia lugha ya Taifa. Ila kwa upande wenu ni wachache wanaweza kushika vyote na kote akawa bora. Naongelea wa hapa Tanzania. Kule Uarabuni Elimu wameitalia mkazo sana. Ila kama mwenzetu unaamini unaijua dini kupita Wasaudia, Wairan, Wafalme Za Kiarabu basi uko sahihi kusema Maaskofu wana Phd za upupu.
Nyinyi mbuzi wa maporini mmekaririshwa kuwa padri wasomi, kwa kutokujua wamesomea niniPhd ya theology'! Ndo maana huyo sheikh anasema mpo nyuma sio kichumi tu hata kiakili,Sidhan kama kuna padri anachini ya degree mbili za taaluma nyingine ukiachilia mbali theology
🤣🤣🤣🤣🙌 PhD mwamposa? Like seriously???Wakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
Kwani wewe kinakuuma nini kama wakristo wanatoa bila kulalamima.
Wakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had nimepaliwaa, woiiiiihNyie huko mnahudumia padre mmoja, huku sheikh anataka aoe wanne, halafu hao wanne wanataka washindane kuzaa ili kumshika mume wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787] waumini mumpe sheikh nyumba nne na mahitaji ya hizo nyumba nne na gari kubwa la familia[emoji1787]
Kwa kweli waendeleze tu hiyo Sunna ya kutembea kwa mguu kama wanavyoendeleza ya kuoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi waseme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na sauti zipae No sunnah here Ustaadh anataka motokaa