Sheikh: Waislamu tuko nyuma sana, hakuna Askofu anapanda bodaboda, ukitembea kwa mguu wanasema Sunah

Sasa tunatoa sadaka halafu bado taasisi zetu zinakuwa, zinastawi, zinaongezeka yaani shule za kutosha na nzuri, hospitali, vyuo vya ufundi mpaka vyuo vikuu

Ninyi maskini ya mungu mmeishia kutawadha kwenye vibanda mjini mkisubiri bikira 72?

Hata kumanage tu taasisi hamuwezi
 
Huyo tunampa sadaka kwasababu ni mwenzetu katika imani na bado haiathiri miradi yetu...ninyi wachungu wa sadaka na njaa kali na bado hamna miradi yoyote ya maana, sadaka mnatoa mwisho 500/=๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Achague moja anataka dunia anataka kumtumikia Allah
 
Kweli makondoo hata uyastue vipi bado ni makondoo
Hizo sadaka zenu ni mnapigwa za uso makondoo nyinyi hazijengi wala kufungua taasisi
Hizo taasisi mnajengewa na wazungu na sasa wanataka muwe mashoga na hakuna hata askofu wala mchungaji kampinga papa wazi wazi, mmeshaanza kuukubali ushoga tayari

Kuna msikiti Fulani zilikusanywa pesa za speaker zilileta ngumi kabisa kila muumini anataka kujua kiasi Gani kimekusanywa na anataka akanunue yeye
Safi kabisa
Hakuna makondoo huku, ndio maana nimesema akaianzisha michango atajua hajui
 
Huyo tunampa sadaka kwasababu ni mwenzetu katika imani na bado haiathiri miradi yetu...ninyi wachungu wa sadaka na njaa kali na bado hamna miradi yoyote ya maana, sadaka mnatoa mwisho 500/=๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tatizo ni mikoa migi ya wagalatia ndio masikini wa kutupwa, na uchawi mwingi huko mikoani
Kwetu kuwa Imam ni wito, unatakiwa uwe na shughuli zako binafsi, hakuna ujanjajanja
Sio nyinyi ni masikini wa kutupwa na mnakamuliwa na mamitume matapeli

Viongozi wenu wanatia huruma aisee
Huku huruhusiwi kujianzishia msikiti kama kama likanisa la mchongo halafu unatapeli watu
Kingozi wa msikiti ni wito, kila mwislamu anaweza kusalisha, sala imepita hiyo, hakuna mbaambaa za suji kasisi mara paroko
 
Hao mashekhe wa misikiti wanatia huruma, kama kila mtu anaweza kuswalisha viongozi wamewekwa wa kazi gani? Ualimu ni wito, udaktari ni wito, uchungaji ni wito na kama ulivyosema kiongozi wa msikiti yaani Shekhe ni wito, angalia hali za viongozi wenu, nyie muendeshe magari na mna majumba lakini wanawaongoza mnasema ni wito? kah! mbona hukuitwa wewe, hebu acheni hizo
 
Hakuna kitu kinaiitwa shekhe wa msikiti, hao wanajipa huo wito na tunawakubali na kazi yao ni kuongoza sala tu, akiwa hayupo yuko kwenye mishemishe zake, muumini yeyeto anasimama na kuongoza sala.
 
NIkiwa kama muislamu umeandika kweli bali wengi itatuuma ila hakuna cha uwongo hapo.
 
Huku huruhusiwi kujianzishia msikiti kama kama likanisa la mchongo halafu unatapeli watu
Kingozi wa msikiti ni wito, kila mwislamu anaweza kusalisha, sala imepita hiyo, hakuna mbaambaa za suji kasisi mara paroko
Nikiwa kama muislamu bado sijaona point yako mkuu kiongozi amewekwa ili afuatwe ndiyo ni wito ila haimaanishi kunashindikana kuwa na mfumo mzuri wa kuwatunza viongozi wetu .
 
Hakuna kitu kinaiitwa shekhe wa msikiti, hao wanajipa huo wito na tunawakubali na kazi yao ni kuongoza sala tu, akiwa hayupo yuko kwenye mishemishe zake, muumini yeyeto anasimama na kuongoza sala.
Msikiti ni taasisi sijui kama unalijua hilo
 
Na waumini wake wanaamini kuwa Askofu hazai na wala hatumii kikojoleo chake๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Umekula hata chakula kweli ewe Bin Mudy?

Mnatia huruma sana kama Sheikh wenu anavyolialia hapo
 
Angeenda mbali kidogo hata makabuli ya wakristo wanaweka Malumalu na hawaziki haraka wanaweka kwa miezi kama huko Nigeria lengine he has a freewill none has stopped him to join.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ