Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #61
Kwa ivo maudhui yake yamebadilika? Jee Sheikh Walid hakujibiwa na Al had Mussa?Hizo clips za zamani kabla Waleed hajawa sheikh wa mkoa, kipindi hiko Alhad Musa ndo alikuwa sheikh wa Dar.
Kuweka record sawa ni muhimu, kuepusha mambo fulani maana naona wengi wanakomenti wakihisi ni za kipindi hiki.Mantiki yako ni nini?
Wahi mapema.Ngoja nimcheki Sheik anipe connection ya kumiliki ka mguu ka kuku. 😀
Sawa!Kuweka record sawa ni muhimu, kuepusha mambo fulani maana naona wengi wanakomenti wakihisi ni za kipindi hiki.
Tangu utotoni mimi naona masheikh mtaani kwetu wanalo jambia kiunoni. Siku hizi tu ndio sioni.Hakuna mahali imesemwa kumiliki Bastola ni kosa. Ila sheikh anaimiliki ana hofu gani?
Al had kajibu kwamba Kwa mazingira ya sasa kuwa na bastola si ajabu. Kwani wao kina Al had si Kila siku wanasema hii nchi Ina amani. Yeye mpaka aingie na Bastola msikitini anamhofu nani?
Ni kweli. Wengine tuliokulia kwenye maeneo ambako Ngoma ya Tokomile ilikuwa inapigwa tulikuwa tunayaona hayo mambo ya majamvia.Tangu utotoni mimi naona masheikh mtaani kwetu wanalo jambia kiunoni. Siku hizi tu ndio sioni.
Sasa kama masheikh wanakuwa na jambia au hata watu tu wa kawaida hasa pwani wanavaa majambia na kutembea nayo na kwenda nayo msikitini, kwanini isiwe bastola?
Ni sawa na kuongeza kinanda kwenye ngoma za asili na kuita mnanda.
MBona nyerere kafa mda mrefu lakini bado anaongelewaPia waambie kwamba hizo clip zote ni za mwaka 2024.
#Hallelujah!!!
Ticha nae alikuwa msengerema tu, aliweka mifumo ya kijambazi hadi leo li nchi halieleweki.Waislam waweke mifumo yao sawa, wakijiweka sawia ni bonge moja la taasisi ila ndio hivyo mwalimu aliona mbali.
Watasingizia kanisaIla hivi vituko utavikuta kwa sisi wala ugali, sasa hapa utashangaa zinatengenezwa timu mbili ndani yao alafu wakishakulana huko fichwa vya kutosha , wafuasi wao watakuja JF kusema kwamba mabeberu waliingilia bakwata ili ivunjike 😁
Kabisa , kumbe unawjua vizuri😁Watasingizia kanisa
Hata huo uislamu siyo dini yetu ya asili. Na kwa taarifa yako jambiya siyo urembo, ni silaha ambayo ukijichanganya unachinjwa nayo.Ni kweli. Wengine tuliokulia kwenye maeneo ambako Ngoma ya Tokomile ilikuwa inapigwa tulikuwa tunayaona hayo mambo ya majamvia.
Ni utamaduni wa kuiga toka kwa waarabu. Lakini Bastola unaifananishaje na Jamvia lililokuwa linavaliwa kama urembo tu?
View attachment 3635416
Hii ni staili ya washihiri.
Inna llilahNa hapo anathibitisha kuwa ni ntu wa dili.
Anamwambia shehe mwenzake akitaka kumiliki bunduki amuone atamsaidia.
Yale yale aliyosema Shehe Walid.
Halafu kuna nguruwe mmoja anasema uislam nayo ni dini ya munyazi mungu, shenz kabisa , vikundi vya kiuaji hiviAkihutubu kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola
👇
Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola.
Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah
👇
Kwa maoni yako yupi yupo sahihi?
Mkuu inaonesha unapenda sana mabishano!Kwa ivo maudhui yake yamebadilika? Jee Sheikh Walid hakujibiwa na Al had Mussa?
Kafa 1999, kawaacha mtengeneze mifumo, ila mkaona iliyopo inafaa.Ticha nae alikuwa msengerema tu, aliweka mifumo ya kijambazi hadi leo li nchi halieleweki.
Sana... Kwangu mabishano ni Sunnah.Mkuu inaonesha unapenda sana mabishano!