nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,673
- 5,402
Kwa anayeelewa ukusanywaji wa sadaka na mapato yote kwenye ibada za huyu jamaa wala hatoshangaa. Kwa umati ule uliokuwepo siku hiyo Taifa kwa aliyeshuhudia 🤣 🤣🤣 hata hiyo mia tisa naona bado ni kidogo.
Hiyo siku kulikuwa kuna mabus yametoka mikoa mbalimbali nchi nzima, kuna raia niliambiwa pia ni wa nchi jirani, acha hizi daladala za humu zilizokuwa zinaua route zipeleke watu mkeshani kmmmmk
Hiyo siku kulikuwa kuna mabus yametoka mikoa mbalimbali nchi nzima, kuna raia niliambiwa pia ni wa nchi jirani, acha hizi daladala za humu zilizokuwa zinaua route zipeleke watu mkeshani kmmmmk