Shekhe acharuka Mwamposa kuingiza milioni 900

Shekhe acharuka Mwamposa kuingiza milioni 900

Wallah Mazinge hamwezi mwamposa, kiuchawi, kipesa na kifollowers 😀. Kuna siku huyu jamaa alishuka kwenye pipa kapita VIP akapokelewa na msafara V8 kama kumi ivi na escort ya polisi na king'ora na vimulimuli
 
Na kinachomuumiza zaidi shkh huyu nikwamba waliouziwa udongo na maji sio Christian tu hata Muslim walikuepo[emoji38]
Buldozer oyeeee
 
Auze na yeye Majini ya Upako.
Kutwa kuyajua majini mwisho wake ndio wivu, chuki na ugaid.
Taliban.
 
Endelea kupiga mapesa Bulldozer
 
Back
Top Bottom