una hoja. Sijaona mantiki ya huyo shehe shehena kumuongelea mwamposa. Hana hiyo authority. Wakiongelewa wasilam atarusha mate.hii ndio shida kubwa iliyopo kwenye uislam kufatilia mambo ambayo hayawahusu
hakuna mtu anafatilia na kusoma biblia kama muislam for what? ili atafute loophole aje public akosoe it simply stupidity mindset
mkataba wa bandari baada tu ya TEC kuweka msimamo wao hawa wameleta udini instead ya kujadili hoja wanajadili mtu
idiots
haya apo mwamposa kupiga M900 za wapumbavu wa dini wanao subili miujiza badala ya kufanya kazi kwa juhudi uku unamtegemea mungu na sio hayo MA michanga inakuuma nini wewe shekh?
wivu wivu wivu
shekh kina muuma akicheki kwa poketi Ana buku jero harafu Kuna muhuni kapiga M900+ kizembe tuuna hoja. Sijaona mantiki ya huyo shehe shehena kumuongelea mwamposa. Hana hiyo authority. Wakiongelewa wasilam atarusha mate.
Nan asiyejua mwamposa mpiga dili lakin kuna haja gan na km sio wivu na majungu kumuongelea hivyo in public. Halaf hyo shehe ubwabwa maskin kwa kukosa elimu dunia sijui kama hajui hapo anaweza kuwa sued kwa kumchafua akiamua mwamposa amshtaki
wakiambiwa akili hawana wakubali ndivyo walivyo walivyo, hawana uwezo wa kujenga hoja za msingiMasheikh wa aina ya huyu jamaa ni wapumbavu sanaaa, issue ya bandari inajadiliwa kwa kufuata vipengele vya mkataba, TEC wameukosoa mkataba straight way, hakuna mahali wametaja BAKWATA wala UISLAM!
Wao kama wanaona mkataba uko sawa, walipaswa kutoka hadharani n'a kuu-analyse mkataba kipengele kwa kipengele kuonyesha uzuri wake, lakini kwa ujinga na kukosa shule vichwani wanaanza kubwabwaja bwabwaja tu, n'a kuingiza udini kama utetezi, kama wanataka Rais asisemwe kwa madhaifu yake wampe BAKWATA na misikiti aongoze!
Yanaongea kana kwamba madhara ya mkataba yatawakumba wakristo peke yao, shwaiiiiiiin....
kama akili za masheikh ni hizi, basi kuwa muislam ni janga kubwa, bora uwe mpagani tuMasheikh wa aina ya huyu jamaa ni wapumbavu sanaaa, issue ya bandari inajadiliwa kwa kufuata vipengele vya mkataba, TEC wameukosoa mkataba straight way, hakuna mahali wametaja BAKWATA wala UISLAM!
Wao kama wanaona mkataba uko sawa, walipaswa kutoka hadharani n'a kuu-analyse mkataba kipengele kwa kipengele kuonyesha uzuri wake, lakini kwa ujinga na kukosa shule vichwani wanaanza kubwabwaja bwabwaja tu, n'a kuingiza udini kama utetezi, kama wanataka Rais asisemwe kwa madhaifu yake wampe BAKWATA na misikiti aongoze!
Yanaongea kana kwamba madhara ya mkataba yatawakumba wakristo peke yao, shwaiiiiiiin....
Shekhe mwongo huyu hakuna siku mwamposa aliuza udongo shekhe wa mchungo uyuShekhe anadai Mwamposa aliingiza million 900 siku ya mkesha wa chako ni chako katika uwanja wa Mkapa kwa kuuza udongo tu.
View attachment 2726986
Mimi nilishasema sitaenda sehemu yoyote inayoitwa kanisani mpaka siku malaika watakapokuja kufundisha neno la Mungu wakitokea mbinguni.Kwa. Style hii ipo siku wafuasi wa Mwamposa wataambiwa wapigane miti ili kupata upako wa mimba na watajazana kweri kweri🤣
unaambiwa amini hawa watumishi wa mungu waliopo duniani, usipowaamini hawa watu hata malaika wakishuka hutawaaminiMimi nilishasema sitaenda sehemu yoyote inayoitwa kanisani mpaka siku malaika watakapokuja kufundisha neno la Mungu wakitokea mbinguni.
Kwanini niikabidhi akili kwa binadamu mwenzangu ambaye pia ni mdhambi kama mimi tu?
Huko mbinguni inasemekana kuna mabilioni ya malaika, sasa wanafanya nini huko badala ya kushuka duniani na kufundisha habari za mbinguni kisha wakapaa na kuondoka?
Yaani habari za mbinguni nifundishwe na binadamu mwenzangu ambaye hajawahi kufika hata Tandale?
NB: Ninaheshimu imani za watu wengine lakini kamwe sipendi utapeli kwa kigezo cha imani.
Ni watu wajinga mno elimu dun
Ye nae si akauze udongo
Yeye hata auze chochote kinatoka hata akiuza mchangaAnauzaga udongo????
Yeye hata auze chochote kinatoka hata akiuza mchanga
Kamwe sitaamini binadamu mwenzangu eti ametumwa na Mungu. Mdhambi kama mimi atatumwa vp na Mungu??unaambiwa amini hawa watumishi wa mungu waliopo duniani, usipowaamini hawa watu hata malaika wakishuka hutawaamini