Shekhe acharuka Mwamposa kuingiza milioni 900

Wallah Mazinge hamwezi mwamposa, kiuchawi, kipesa na kifollowers πŸ˜€. Kuna siku huyu jamaa alishuka kwenye pipa kapita VIP akapokelewa na msafara V8 kama kumi ivi na escort ya polisi na king'ora na vimulimuli
 
Na kinachomuumiza zaidi shkh huyu nikwamba waliouziwa udongo na maji sio Christian tu hata Muslim walikuepo[emoji38]
Buldozer oyeeee
 
Huu sasa ni wivu ile ni biashara na mafanikio ya biashara ni faida.. Hata kuuza leso na mafuta ya upako ni biashara..
Wanaweza agiza na kuleta tende
Wakazitengenezea mchongo nao
[emoji1]

Ova
 
Auze na yeye Majini ya Upako.
Kutwa kuyajua majini mwisho wake ndio wivu, chuki na ugaid.
Taliban.
 
Endelea kupiga mapesa Bulldozer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…