Shekhe acharuka Mwamposa kuingiza milioni 900

Wagalatia hamna Akili, acha mpigwe kkenge pori nyie
 
Huyo sheikh anae mshangaa mwamposa kupiga hela ya mchanga si sheikh huyo ni mbabaishaji tu kwa sababu ukirito autofautishwi na utapele unaongozwa na viini macho mazingaombwe bayo chanzo chake ni uchawi
SAsa Hapo ndo umeandika nini weye msubiria mito ya pombe za peponi
 
Mwamposa anawapiga ile ni Alliance Global kabisa QNet kabisa zaidi ya JATU PLC yaan ni Mr. Kuku kwenye mfumo wa Dini
 
Masheikh ubwabwa wengi chuki zinawasumbua Kazi yao kuuza Dawa za ngumu za kiume na kufanya visomo,
 
Maalimu kadanganya kilichouzwq ni maji after all maji hata dukani sio Bure na watu wanashauriwa kwenda na maji Yao au kununua maji popote ,kilichomuuma sheikh asilimia kubwa ya watu wanaojaza makutaniko ya Mwamposa ni watu umma wake
 
Mwamposa auze maji shilingi 500 ni bei ya kawaida ya soko Kwa maji ya ujazi wa lita moja.

Lakini kuuza shilingi 1,000/- ni kuielemea waamini .

Ni sawa na kuwanyonya na wengi wao wamechoka ile mbaya.
 
Na akiuza kwa bei ya shilingi 500 bado atapata faida kubwa sana Na hata wale ambao walikuwa hawamudu wataweza kununua
 
Hauzi udongo ila ni sadaka inayotolewa na waumini...

Imani huja kwa kusikia na kusikia huja kwa neno la Mungu...
 

Kila mmoja kw waliokaa akitoa wastani wa 15,000 Tshs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…