Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Mtu kashiba huko, eti hataki chanjo. Elimu ni muhimu, kuelimika ni jambo lingineKwani wewe unaamini chanjo za Malaria zina "hormone" za ushoga? Angekuja na scientific proof kutoka mahabara angalau alichokuwa akikisimamia kingeeleweka
Ustadhi aweke namba ya mpesa tumtunzeShehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.
View attachment 2622866
Kitendo cha shehe huyo kukataa chanjo kinatokana na kushamiri vitendo vya kishoga siku za hivi karibuni ambapo mwanaharakati aitwaye Catherine Kahabi alizitaja hadharani taasisi zinazofadhili vitendo vya kishoga hapa nchini.
MAONI YANGU
Nawakubali sana waislamu kwa misimamo yao isiyoyumba, hasa pale unapotaka kuwachomea jambo au hoja kengeufu. Kama wakristo wangekuwa na misimamo isiyoyumba kama hii ya waislamu, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tatizo wakristo ni wapole sana. Mambo yanapokuwa magumu utawasikia wakisema: “Tunamuachia Mungu”. Waislamu hawana ujinga huo. Wakiamua kuwasha moto wanawasha kweli kweli bila kurudi nyuma mpaka kieleweke. Hapa ndipo waislamu na wakristo wanapotofautiana katika mambo ya muhimu na msingi katika ujenzi wa taifa letu tukufu.
Pia soma:
https://www.bbc.com/swahili/habari-58843546
Hapo hapakuwa msikitini mkuu.....ilikuwa ni mhadhara wa nje. Hata msikitini wanawake huingia pia lakini hukaa mbali na wanaume......hawachanganyiki......ndio maana kwenye hiyo video unawaona wanaume tu. Wanawake wamekaa upande wa kushoto.waziri wa afya ni mwanamke, hawezi kuingia msikitini upande wa wanaume.
Mleta mada hebu cheki tena facts zako
Kumbe Covid 19 alichanja basi na hii atachanjwaShehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.
View attachment 2622866
Kitendo cha shehe huyo kukataa chanjo kinatokana na kushamiri vitendo vya kishoga siku za hivi karibuni ambapo mwanaharakati aitwaye Catherine Kahabi alizitaja hadharani taasisi zinazofadhili vitendo vya kishoga hapa nchini.
MAONI YANGU
Nawakubali sana waislamu kwa misimamo yao isiyoyumba, hasa pale unapotaka kuwachomea jambo au hoja kengeufu. Kama wakristo wangekuwa na misimamo isiyoyumba kama hii ya waislamu, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tatizo wakristo ni wapole sana. Mambo yanapokuwa magumu utawasikia wakisema: “Tunamuachia Mungu”. Waislamu hawana ujinga huo. Wakiamua kuwasha moto wanawasha kweli kweli bila kurudi nyuma mpaka kieleweke. Hapa ndipo waislamu na wakristo wanapotofautiana katika mambo ya muhimu na msingi katika ujenzi wa taifa letu tukufu.
Pia soma:
https://www.bbc.com/swahili/habari-58843546
Kwanza sijamuona waziri wa afya kwenye hiyo clip. Pili ushoga upo tu kabla hata ya chanjo ya malaria haikakuwa introduced. Mbona Zanzibar nchi yenye Waislamu wengi ndiyo ina vijana wengi wanashikishwa ukuta?Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.
View attachment 2622866
Kitendo cha shehe huyo kukataa chanjo kinatokana na kushamiri vitendo vya kishoga siku za hivi karibuni ambapo mwanaharakati aitwaye Catherine Kahabi alizitaja hadharani taasisi zinazofadhili vitendo vya kishoga hapa nchini.
MAONI YANGU
Nawakubali sana waislamu kwa misimamo yao isiyoyumba, hasa pale unapotaka kuwachomea jambo au hoja kengeufu. Kama wakristo wangekuwa na misimamo isiyoyumba kama hii ya waislamu, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tatizo wakristo ni wapole sana. Mambo yanapokuwa magumu utawasikia wakisema: “Tunamuachia Mungu”. Waislamu hawana ujinga huo. Wakiamua kuwasha moto wanawasha kweli kweli bila kurudi nyuma mpaka kieleweke. Hapa ndipo waislamu na wakristo wanapotofautiana katika mambo ya muhimu na msingi katika ujenzi wa taifa letu tukufu.
Pia soma:
https://www.bbc.com/swahili/habari-58843546
Tunataka ushahidi wa kitaalamu haya mambo nyie waswahili huwa mnayaendesha kienyeji sana. Kama kipindi kile cha free mason. Na miaka ile ya mumiani. Wewe sidhani kama ulikuwa umezaliwa. Haya mambo umaamuma pia ni tatizo.Mkuu ulimsikiliza vizuri Catherine Kahabi alipotoa ushahidi mbele ya Mwakeyembe au unasema tu? Hutaki watu wachukue tahadhari ili wawe mashoga kwa manufaa ya nani?
Kwani kazi ya NIMR na TMDA ni Nini? Basi tuzifute hizo taasisi kama hazifanyi kazi zake.Inawezekana siyo kweli, lkn una uhakika gani kwamba haya manguruwe hayajawahi kutuchanyishia madawa ya chanjo au dozi na viambata hatari?
Waambie hao waliosomea elimu ahera kuwa Nchi inaendeshwa kupitia elimu dunia. Waache kutoa mawazo ya kijingaKwani kazi ya NIMR na TMDA ni Nini? Basi tuzifute hizo taasisi kama hazifanyi kazi zake.
Dawa za Kibaha zimewafurahisha nchi za nje ila hapa nyumbani kwetu hazina 10% wakubwa wanaona bora tuletewe hormone lakini wao washibe.Watumie dawa zinazotengenezwa kule kibaha kuua mbu badala ya kuchoma watu sindano
... hakuna watu walipiga chanjo ya polio kama kule Pakistan enzi zile. Taifa zima lilipogeuka mapooza tupu waliomba poo wenyewe. Huyu naye yuko kizani kukipambazuka ataelewa tu.Tunahitaji viongozi wa imani wenye misimamo kama hawa.
Ila tunatakiwa kusaidiana nao kuhakikisha wanayoyasema yahakikiwa na kufanyiwa kazi
... hakuna watu walipiga chanjo ya polio kama kule Pakistan enzi zile. Taifa zima lilipogeuka mapooza tupu waliomba poo wenyewe. Huyu naye yuko kizani kukipambazuka ataelewa tu.
Soma kwa makini utaelewa. Nitoe mfano mwingine; wapo waliopingana na ukweli wa covid; watu walipoanza kupukutika walikuja kuelewa somo. Kenge hasikii hadi zimtoke damu!Umeandika nini!?
Waliopiga chanjo waligeuka mapooza!?
Soma kwa makini utaelewa. Nitoe mfano mwingine; wapo waliopingana na ukweli wa covid; watu walipoanza kupukutika walielewa somo la covid. Kenge hasikii hadi zimtoke damu!
Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.