Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mkuu naona unataka ligi isiyo na maana yoyote. Taarab ni mziki wenye mahadhi ya kiislamu, sasa ww unataka kuniletea habari za qoran inasemaje. Sina muda wa kusubiri unieleze Quran inasemaje kuhusu muziki, lakini uhalisia ndio huo. Sasa hiyo ligi yako mimi sina muda nayo.
Asilimia kubwa ya hao jamaa sijui Huwa wanawaza kwa kutumia nn? Kuna sehemu walishawahi kupinga mpaka hizi chanjo za watoto chini ya miaka mi5, ukija kwenye njia za uzaz wa mpango ndio hawataki kusikia kabisa wakat mwingine busata ni kuwaacha tu na maisha Yao.Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.
View attachment 2622866
Kitendo cha shehe huyo kukataa chanjo kinatokana na kushamiri vitendo vya kishoga siku za hivi karibuni ambapo mwanaharakati aitwaye Catherine Kahabi alizitaja hadharani taasisi zinazofadhili vitendo vya kishoga hapa nchini.
MAONI YANGU
Nawakubali sana waislamu kwa misimamo yao isiyoyumba, hasa pale unapotaka kuwachomea jambo au hoja kengeufu. Kama wakristo wangekuwa na misimamo isiyoyumba kama hii ya waislamu, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tatizo wakristo ni wapole sana. Mambo yanapokuwa magumu utawasikia wakisema: “Tunamuachia Mungu”. Waislamu hawana ujinga huo. Wakiamua kuwasha moto wanawasha kweli kweli bila kurudi nyuma mpaka kieleweke. Hapa ndipo waislamu na wakristo wanapotofautiana katika mambo ya muhimu na msingi katika ujenzi wa taifa letu tukufu.
Pia soma:
https://www.bbc.com/swahili/habari-58843546
Sasa mimi nakueleza kitu kwa mujibu wa uislamu wewe unaniletea definitions za kwenye oxford dictionary, nimekwambia Qur'an sio mziki na kamwe haiwezi kuwa mziki.Wewe hujui hata Music ni nini.. Unabishana tu.
Nakuwekea hapa definition ya Music kutoka Oxford dictionary: [emoji116]
Music: the art of combining vocal or instrumental sounds (or both) to produce beauty of form, harmony, and expression of emotion
[emoji115]
Shairi linatumia VOCAL(Maneno) na lina produce HARMONY and expression of EMOTION kwa wasikilizaji wake.
Mziki sio mpaka uwe na kinanda na gitaa. Jifunze hilo kwanza.
Shairi ni Muziki...ni muziki wa aina ya shairi. Hata Rap ni mziki (ingawa ipo kama kuongea-ongea) ila unaitwa mziki wa kufokafoka... ni aina ya mziki hiyo.
So, Kughani shairi ni kuimba nyimbo/muziki wa aina ya shairi.
Kwa mujibu wa uislam unaopinga mziki na hapohapo unatumia mziki huohuo kughani maneno yake. MAAJABU.Sasa mimi nakueleza kitu kwa mujibu wa uislamu wewe unaniletea definitions za kwenye oxford dictionary, nimekwambia Qur'an sio mziki na kamwe haiwezi kuwa mziki.
Nimekuwekea ushahidi pale juu umekataa kwenda kusikiliza, basi kwa kukurahisishia unajua nyimbo za kiarabu? za kina kulthum na kina maher zain? ule ni mziki, na uislamu haujaharamisha kughani kwenye kusoma Qur'an bali umeamrisha, sasa kitu kimeruhusiwa na muweka sheria wewe peace pacha unatoa wapi jeuri ya kuja kukejeli.
Tatizo wewe unaamini mziki ni magitaa na vinanda. Ndio maana unaniletea mifano ya kina Zain.Sasa mimi nakueleza kitu kwa mujibu wa uislamu wewe unaniletea definitions za kwenye oxford dictionary, nimekwambia Qur'an sio mziki na kamwe haiwezi kuwa mziki.
Nimekuwekea ushahidi pale juu umekataa kwenda kusikiliza, basi kwa kukurahisishia unajua nyimbo za kiarabu? za kina kulthum na kina maher zain? ule ni mziki, na uislamu haujaharamisha kughani kwenye kusoma Qur'an bali umeamrisha, sasa kitu kimeruhusiwa na muweka sheria wewe peace pacha unatoa wapi jeuri ya kuja kukejeli.
Kama hausomi wewe kinyumenyume inakuuma nini? ujinga alioongea huyo mzee sote tumempinga.Ukisoma Sana maandishi yaliyopo reverse au ant clockwise na akili inabadilika inakuwa kinyumenyume. Hivi Kila kitu , dawa zooote tunazotumia na anazotumia formula wameitengeneza hao wazungu, na yeye pamoja na kujinadi kuwa kitabu Chao kimekamilika kina elimu zote, hao wahitimu wa hicho kitabu hatujawahi kuona wametengeneza hata asprini zaidi ya kuuza madawa ya kienyeji na kutengeneza makombe ?
Naona umeamua kujifanya huelewi, mimi nimeamua kukupuuza.Kwa mujibu wa uislam unaopinga mziki na hapohapo unatumia mziki huohuo kughani maneno yake. MAAJABU.
Wewe huna unalojua. Kama tu mashairi unasema sio mziki, kuna unachojua sasa hapo?
Ukishaanza kughani tayari unazungumzia Mziki hapo. Nini kigumu kuelewa?
Ukishaanza kuimba/kughani hiyo quran hapo tayari unaimba hayo maneno.. na kuimba ni mziki.
Hutaki unaacha.
Umeshindwa hoja lazima ulale mbele.Naona umeamua kujifanya huelewi, mimi nimeamua kukupuuza.
Hauna akili kwani wangapi Wana Elimu dunia ila akili kama zako ?Mleta mada una kiwango gani Cha elimu pamoja na huyo sheikh wako. Au ni elimu ahera. Chanjo ni elimu dunia. Jifunze kidogo
Wewe malengo yako huwa kubishana sio kuelewa, kama toka tumeanza mjadala hujaelewa unataka nije kukuvunjia nazi kichwani ndo uamke?.Umeshindwa hoja lazima ulale mbele.
Hicho mnachoghani msikitini mimi naweza kukichora kwenye noten za muziki na kukipiga kwenye kinanda.
Huo ni mziki au sio mziki?
Hakuna kitabu kilicho teremshwa popote pale.Kama hausomi wewe kinyumenyume inakuuma nini? ujinga alioongea huyo mzee sote tumempinga.
Lakini kukuweka sawa sisi kipaumbele chetu si kutengeneza aspirin na panadol, hizo tengenezeni ninyi sisi tutatumia hakuna ubaya, wacha tuhangaike na kitabu chetu raha na furaha ya moyo tunayopata maishani tunaijua wenyewe, na tunamhimidi allah kwa neema ya Qur'an na sunnah.
"Na hiki ni Kitabu tulichokiteremsha, kilichobarikiwa, basi kifuateni na muogopeni allah ili mpate kurehemewa."
Qur'an 6:155
Am too old for the so called cheap arguments.Hakuna kitabu kilicho teremshwa popote pale.
Hicho kitabu kiliandikwa hapahapa duniani na wafuasi wa mohamad baada ya huyo mohamad kufa.. Na waliandika maneno waliyodai kuyakariri kutoka kwa mohamad ambaye naye alisema aliyapewa na malaika.
Huko ndio kuteremshwa mnakokuzungumzia?
Hayo maamrisho ya quran yamekutaka wewe Ughani.Wewe malengo yako huwa kubishana sio kuelewa, kama toka tumeanza mjadala hujaelewa unataka nije kukuvunjia nazi kichwani ndo uamke?.
Nimekueleza tangu mwanzo Qur'an haiimbwi na ni haramu kuiimba Qur'an umekazana naweza kuchora noten za muziki na kupiga kwenye kinanda unaelewa kweli mimi nasema nini na wewe unajibu nini? una uhakika ulipita jandoni kweli?.
Labda nikwambie sasa ili usinipotezee muda kughani kwenye kuisoma Qur'an ndio jambo lililoamrishwa na huenda maana yake si hiyo iliyokusudiwa kwenye kamusi ya Oxford.
Ama mwisho niseme sisi tunafanyia kazi maamrisho ya Qur'an na si kuweza kwako kuchoea noten na kuziapply kwenye kinanda, sitokujibu tena.
Kanusha nilichokisema hapo kwa hoja.Am too old for the so called cheap arguments.