Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nampenda bure siyo muoga kwa kile anachokiaminiMmanyema yule wa Ujiji.
Mimi huu muungano nimeupinga kwa miongo mingi sana.Ameunga mkono hoja muungano fake huu uvunjwe haraka hauna manufaa yoyote kwa raia
Kwani si tunaweza kuwafutia deni lao? hakuna mtu kutoka bara mwenye akili timamu anataka huu muungano fakeMikopo, wana uwezo wa kuilipa? Zanzibar ina deni kubwa sana kwa Tabganyika,buwa wanaamua tu kuweka siri.
Pesa yote inayokopwa na JMT, sehemu inayopelekwa Zanzibar, haijawahi kulipwa hata mara moja.
Mi sitaki hata kuuona wala kuusikia ni fakeMimi huu muungano nimeupinga kwa miongo mingi sana.
Nasikia atatoa maoni yake kuhusu uwekezaji wa Bandari ngoja tumsikie.Nampenda bure siyo muoga kwa kile anachokiamini
Karibu!Kwanini nisije kwenu Njombe?
Huu ni muungano wa TANU na AfroShirazi sio legitimate ndio maana CCM wanaung'ang'ania wanajua ukivunjika na wao wanaondoka.Mi sitaki hata kuuona wala kuusikia ni fake
Muungano wa hovyo sn, uvunjwe hata kesho jioniHuu ni muungano wa TANU na AfroShirazi sio legitimate ndio maana CCM wanaung'ang'ania wanajua ukivunjika na wao wanaondoka.
Huyu mzee yupo sahihi.., bora waliokuwa wanapendekeza serikali 3 ili mali za Tanganyika zibaki na kusimamiwa na watanganyika wenyewe, na Mali za Zanzibar zibaki nakusimamiwa nawazanzibari wenyewe., maana hii Muungano ni sanaa tu hakuna lolote wanufaika wakubwa ni hawa hawa wanaojiita WATAWALA.Shekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji
Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter
My take: Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa
=========
View attachment 2656035
Mungu mbariki Shehe PondaShekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji
Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter
My take: Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa
=========
View attachment 2656035
Uvunjike tu aisee kwa kuwa ukiwasikilkz ww zanzibar huwa wwnaanini umeskin wao unatokana na sisi ,tuwape nchi yao yenye watu wasiozid 1.6m tuone kama watatoboaTukiuvunja huu muungano tutawatesa sana ndugu zetu wazanzibari ni heri tuwape muda wajipange kwanza.
Ukisema uvunje ghafla maana yake itabidi umeme nao ukatwe kwa ghafla hili moja.
Pili bado hawana jeshi la ulinzi
Tatu wajifunze kwanza kulima
Ndugu yangu ponda tulia kwanzaa
Napende uvunjike saa100 audio kwao .hala tuone kama watatoboaNa hao kila siku wanatutukana sisi Watanganyika wakidai tunawanyonya. Uvunjwe huu muungano na tunawafukuza warudi kwao tuone kama watabeba haya majumba yao. Hakuna Mtanganyika mwenye mali isiyohamishika huko visiwani. Tumechoka matusi na dharau zao. Majuzi tu wamesamehewa deni la umeme bilioni 65.
Nimeishi na kufanya mishe zenji, watauana sana wenyewe kwa wenyewe maana njaa nanuhaba mkubwa utajitokeza. Wapingaji na wanaopiga kelele wengi hakuna wanachokijuaUvunjike tu aisee kwa kuwa ukiwasikilkz ww zanzibar huwa wwnaanini umeskin wao unatokana na sisi ,tuwape nchi yao yenye watu wasiozid 1.6m tuone kama watatoboa
Unakusudia kabla ya ( uvamizi wa Tanganyika) ZANZIBAR ilikua gizani?Tukiuvunja huu muungano tutawatesa sana ndugu zetu wazanzibari ni heri tuwape muda wajipange kwanza.
Ukisema uvunje ghafla maana yake itabidi umeme nao ukatwe kwa ghafla hili moja.
Pili bado hawana jeshi la ulinzi
Tatu wajifunze kwanza kulima
Ndugu yangu ponda tulia kwanzaa
Hapa hatuzungumzii habari za historia, tunazungumzia alichosema Ponda, ambao ni wakati uliopo.Unakusudia kabla ya ( uvamizi wa Tanganyika) ZANZIBAR ilikua gizani?
Tatizo machogo hamsomi ZANZIBAR ktk historia ilikua na taa za barabarani kabla ya baadhi ya Miji ndan ya England na kumbukumbu juu ya hayo zipo
Nashindwa kujua; mtanganyika wa ccm ananufaika vipi na huu muungano?Muarobaini wa hizi kero za muungano ni kuuvunja tu,ni viongozi wa CCM tu ndiyo wanautaka lakini kama ingepigwa kura 'huru' ya maoni zaidi ya 99% ya Watanzania wangeukataa.