Shem kayaachia mashuzi ya haja mbele yangu. Nifanyeje?

WhoWeBe

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
2,299
Reaction score
4,282
Naingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona!

Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya kusubiriana kwanza sababu yanayoendelea chooni huwa yanasikika bafuni.....labda awe mtoto.

Basi huyu shemeji kaingia huko chooni na kujiachia vizuri kwa kuyamwaga mashuzi ya haja tu. Nilipotoka ananisalimia, 'za saa hizi shem!' Vp huyu wadau?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…