Nyuzi nyingine bure kabisa.Naingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona!
Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya kusubiriana kwanza sababu yanayoendelea chooni huwa yanasikika bafuni.....labda awe mtoto.
Basi huyu shemeji kaingia huko chooni na kujiachia vizuri kwa kuyamwaga mashuzi ya haja tu. Nilipotoka ananisalimia, 'za saa hizi shem!' Vp huyu wadau?!!!!
Sasa nia yako ni kumdhalilisha shemeji yako au? Naona kama unamtamani dhahiri. Sasa chooni ulitaka ushuzi usitoke wakati wakati alikuwa anakata gogo?
Mi nilipoona kichwa cha habari nokajua alikuwa ameuachia mbele yako hadharani!? Kumbe kila mmoja mlikuwa mnatimiza haja zenu!!
Eti inawezekana baba wa watoto wewe!! 🙆🤣 ..... Kazi kweli kweli.