Shem kayaachia mashuzi ya haja mbele yangu. Nifanyeje?

🤣🤣We jamaa mkorofi🤭
Ndo umemuona mkorofi huyo yaani hadi unamsifia mwenyewe?!!!!!!!! Kama mna yenu mu'pm'ane huko, usitafute mserereko kwenye uzi wangu. Kwetu sisi wengine huyo ni mpole kuliko wote.
 
Kwani kudhalilika mi mpaka nikufahamu?
Kwa nini mnawapa pole watu humu ilhali hamfahamiani? Tuseme lengo lako ni kuunga mkono mada yake?
We huoni swali la mtego alilouliza?
Umesoma comments za watu wanavyomshauri?
Umejipeleka mbali mno bila sababu na mbali kwenyewe upande wa 'negative tu.
 
Hata kidogo dada angu.
Jamaa hajielewi. Ingekuwa shemeji yake ameachia shuzi hizo mbele yake hadharani sawa. Lakini sehemu sahihi na kwa tendo sahihi. Sasa hapa unaandika uzi wa nini? Hata kama hatujuani, let's think deep before writing a thread like that. Tusiandike tu kwa sababu tunajua kuandika.
Posts #53 na 63 zinakuhusu!
 
Naingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona!

Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya kusubiriana kwanza sababu yanayoendelea chooni huwa yanasikika bafuni.....labda awe mtoto.

Basi huyu shemeji kaingia huko chooni na kujiachia vizuri kwa kuyamwaga mashuzi ya haja tu. Nilipotoka ananisalimia, 'za saa hizi shem!' Vp huyu wadau?!!!!
Anaku-beep kwa sim 2, kama una airtime/bundle kwanye hiyo line aliyoku-beep mpigie. Hapo anajua dada yake simu yake ni One sim, if you know you know.
 
Naingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona!

Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya kusubiriana kwanza sababu yanayoendelea chooni huwa yanasikika bafuni.....labda awe mtoto.

Basi huyu shemeji kaingia huko chooni na kujiachia vizuri kwa kuyamwaga mashuzi ya haja tu. Nilipotoka ananisalimia, 'za saa hizi shem!' Vp huyu wadau?!!!!
huna akili wewe huwa hujambi?
 
Hii habari inahitaji vichwa vya kibaha, mzumbe, ilboru, kilakala au tabora boys kuweza kuielewa na kutopanick nayo; wewe wa shule ya kata ya mwanalugali lazima upanick!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona!

Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya kusubiriana kwanza sababu yanayoendelea chooni huwa yanasikika bafuni.....labda awe mtoto.

Basi huyu shemeji kaingia huko chooni na kujiachia vizuri kwa kuyamwaga mashuzi ya haja tu. Nilipotoka ananisalimia, 'za saa hizi shem!' Vp huyu wadau?!!!!
😄😄😁😂😂
Yaani JF kiboko. Sasa unataka tujadili ushuzi wa shemela😁😄😂😄😄😄😂
 
Back
Top Bottom