yusuf57
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 322
- 665
[emoji3][emoji28] kuna mda inabidi tufurah tuu, sasa hapa unataka tukushaur au tukucheke?Naingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona!
Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya kusubiriana kwanza sababu yanayoendelea chooni huwa yanasikika bafuni.....labda awe mtoto.
Basi huyu shemeji kaingia huko chooni na kujiachia vizuri kwa kuyamwaga mashuzi ya haja tu. Nilipotoka ananisalimia, 'za saa hizi shem!' Vp huyu wadau?!!!!