[emoji3][emoji28] kuna mda inabidi tufurah tuu, sasa hapa unataka tukushaur au tukucheke?Naingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona!
Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya kusubiriana kwanza sababu yanayoendelea chooni huwa yanasikika bafuni.....labda awe mtoto.
Basi huyu shemeji kaingia huko chooni na kujiachia vizuri kwa kuyamwaga mashuzi ya haja tu. Nilipotoka ananisalimia, 'za saa hizi shem!' Vp huyu wadau?!!!!
Sasa kuna mjinga kama wewe, tufanyaje?Mh sasa uhu ujinga mnauendekeza
Ni moja ya comment ya kipumbavu tangu jukwaa hili liundwe!moja ya uzi wa kipumbavu tangu mwaka huu uanze
Tafuta hela ili uweze kuwa na self containedNaingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona!
Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya kusubiriana kwanza sababu yanayoendelea chooni huwa yanasikika bafuni.....labda awe mtoto.
Basi huyu shemeji kaingia huko chooni na kujiachia vizuri kwa kuyamwaga mashuzi ya haja tu. Nilipotoka ananisalimia, 'za saa hizi shem!' Vp huyu wadau?!!!!
Uchawi huoHivi hizi thread mods mnaziona kweli?.
We unazo?!!!Tafuta hela ili uweze kuwa na self contained
Wasiwasi wako maradhi yako muache ajivinjari kisa cha kubana bana tumbo lianze kuunguruma.Naingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona!
Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya kusubiriana kwanza sababu yanayoendelea chooni huwa yanasikika bafuni.....labda awe mtoto.
Basi huyu shemeji kaingia huko chooni na kujiachia vizuri kwa kuyamwaga mashuzi ya haja tu. Nilipotoka ananisalimia, 'za saa hizi shem!' Vp huyu wadau?!!!!
[emoji3][emoji3]CCM mmerufikisha hapa
Hali imekuwa mbaya zaidi baada mara baada ya wewe kujiunga