Shem kayaachia mashuzi ya haja mbele yangu. Nifanyeje?

🀣🀣We jamaa mkorofi🀭
Ndo umemuona mkorofi huyo yaani hadi unamsifia mwenyewe?!!!!!!!! Kama mna yenu mu'pm'ane huko, usitafute mserereko kwenye uzi wangu. Kwetu sisi wengine huyo ni mpole kuliko wote.
 
Kwani kudhalilika mi mpaka nikufahamu?
Kwa nini mnawapa pole watu humu ilhali hamfahamiani? Tuseme lengo lako ni kuunga mkono mada yake?
We huoni swali la mtego alilouliza?
Umesoma comments za watu wanavyomshauri?
Umejipeleka mbali mno bila sababu na mbali kwenyewe upande wa 'negative tu.
 
Posts #53 na 63 zinakuhusu!
 
Anaku-beep kwa sim 2, kama una airtime/bundle kwanye hiyo line aliyoku-beep mpigie. Hapo anajua dada yake simu yake ni One sim, if you know you know.
 
huna akili wewe huwa hujambi?
 
Sometimes ukute Ni mtu mzima tu na familia ila akili kisoda


Tuache kuwasingizia wasomi wetu siku hizi wengi wanajielewa
Halijawahi kutoka neno la maana kinywani mwa mlevi!
 
Hii habari inahitaji vichwa vya kibaha, mzumbe, ilboru, kilakala au tabora boys kuweza kuielewa na kutopanick nayo; wewe wa shule ya kata ya mwanalugali lazima upanick!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani JF kiboko. Sasa unataka tujadili ushuzi wa shemelaπŸ˜πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…