Shem kayaachia mashuzi ya haja mbele yangu. Nifanyeje?

Dah nawewe ni mume wa mtu kabisa? Mkeo amekula hasara. Wanawake nao waanzishe kampeni ya kukataa ndoa kama waowaji wenyewe ndio kama huyu.
Hoja imeungwa mkono

Jamaa ni papaya kabisa
 
Huyo shemeji yako hana shida kwa sababu hilo ni tendo la kiafya - hakuna ajabu, na zaidi amelifanyia sehemu sahihi. Hapo ni tatizo la mwenye nyumba kujenga choo na bafu bila kuzingatia faragha.
Sasa wewe ulitaka aumie kwa sababu upo bafuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…