Shemeji 3 wamehamia kwangu, wanavaa ovyo kunitega?

ebwanaeee kama uliruka na shangazi ambae ni sawa na Baba wa Mkeo nashauri hao shemeji zako uruke nao at your own risk
 
Watatu wote? Umeoa singida au mbeya?
Jikaze, bado na mama mkwe akipata nauli tu utamuona
Kwahiyo watu wa Singida na Mbeya ndo walivyo ili nioe huko kabisa? Unajua michepuko ya ndani haina gharama wala usumbufu!! Sema Andrew123 mi ningekuwa ndo huyo mkweo ningekugongea mtu ambae usingenisahau kamwe kwa sababu haiwezekani Binti yangu umgonge na dada yangu pia umgonge halafu mie nisikutafunie viumbe wa damu kutoka familia yako!
 
usiwe na tamaa kaka
 
shemeji zako wana mikia? umeoa ng'ombe?
 
Pole Kaka. (Hizo tabia ndio tabia ya mkeo akiwatembelea ndugu zake)
 
Hivi huwa mnashindwaje kuwala hao?
 
Tumwambie ukweli mkuu. Moja ya Mechanism yao ni kukutafutia mbadala kwa siri. Ndio ile utatoka ukichelewa huulizwi utaomba excuse sijui leo kazini nn na nn utajibiwa kistaarabu hakuna shida,kumbe amesha add member. Usivunje uaminifu wa mkeo.kamwe!
Wengi huwa wanashtuka ishakuwa too late
 
Wambeto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…