Shemeji kagoma kunipeleka shule na gari yake

Shemeji kagoma kunipeleka shule na gari yake

Sidhani kama kuna mtu anaandika vya kufikirika kama huyu...sidhani....anywys labda inampa ahueni
Umri wake unaruhusu, ila changamoto ni kwamba ameshindwa kuzielewa vizuri hizi forums. Ila nadhan with time, ataichukulia in a positive way, maana itakuja kuwa na msaada sana kwake
 
Back
Top Bottom