Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #61
Kwani yote haya yanatoka kinywani mwak?Bc usituambie tuache upumbavu wakat unanijua kabisa umeleta mada ya kipumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yote haya yanatoka kinywani mwak?Bc usituambie tuache upumbavu wakat unanijua kabisa umeleta mada ya kipumbavu
Unaweza ku control akili ya mtu au wazo la mtu?Aisee hii JF sasa..ile home of Great Thinkers imepotea..pamekua kama FB😔
Yes naweza🌚Unaweza ku control akili ya mtu au wazo la mtu?
👀Huyo shemeji yako anakutengenezea mazingira ya kukubong'oa wewe
huyu ndo mpiga soga mashuhuri jf nzima....Sidhani kama kuna mtu anaandika vya kufikirika kama huyu...sidhani....anywys labda inampa ahueni
Agemate mwenzio huyo🤣👋kijana vituko vyako haviishi....
mambo yanaenda lakini??Agemate mwenzio huyo🤣👋
Ndio maana nimesema JF imepoteza credibility yakeNimechoka kupokea wageni
Hellow Africa Dah ninaishi na wife huu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauki hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu huwezi kuweka akiba yako. Juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo Jumapili huwa tuna kawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi...www.jamiiforums.com
Haha naona umemdhihirisha huyo shwaini juzi alikuwa anaishi kwake na mkewe leo anaishi kwa shemeji JF kuna majitu fake mengi sanaNimechoka kupokea wageni
Hellow Africa Dah ninaishi na wife huu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauki hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu huwezi kuweka akiba yako. Juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo Jumapili huwa tuna kawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi...www.jamiiforums.com
Yes yanaenda sijui kwako🤣👋mambo yanaenda lakini??
Yaan humu mpaka naogopa af wote wenye mambo meusi ni Wanaume🤣🤣🤣👋Haha naona umemdhihirisha huyo shwaini juzi alikuwa anaishi kwake na mkewe leo anaishi kwa shemeji JF kuna majitu fake mengi sana
mda mrefu hatujaonana umepotea kwelikweli....Yes yanaenda sijui kwako🤣👋
hujakosea,wengi wetu humu tunaleteana maigizoYaan humu mpaka naogopa af wote wenye mambo meusi ni Wanaume🤣🤣🤣👋
Uko feki mnoAhahah unataka niandike nin?