SHEMEJI: 'Mbona umefadhaika sana?' KIJANA: 'dah, shem, nimepigwa bandiko, acha tu'

Top Gun

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
257
Reaction score
860
SHEMEJI: bandiko ni kitu gani na inatoka wapi?

KIJANA: Si unajua shemu mimi JF ndio napotezea mawazo, sasa nimepigwa ban, siwezi ingia

SHEMEJI: ndio maana asubuhi hadi jioni upo na simu tu tena nakuonagaa una type kwa hasira kabisa, ila mbona kazi nakuunganishiaga ufanye kazi eti unasema utasikilizia mara ooh sio za level yako?

KIJANA: ila shemu mimi mule natengeneza jina, pia kuna watu wananichokozaga

SHEMEJI: unatengeneza jina gani wakati ID yako haina jina lako la ukweli wala picha yako halisia. Wewe ni stress ndio zinakusumbua na JF umegeuza sehemu ya makasiriko yako

KIJANA: ila shem,

SHEMEJI: ila nini wewe, ni basi tu dada yako ni mtu poa kwangu lasivyo ninge kung'atua hapa. Ebu msaidie dada kuingiza maji

grok_1784533638356.jpg
 
View attachment 3633276
Ai7e
 
Umetisha wewee! Ila kuna wawil natamani wapgwe ban wawasaidie dada zao kupika ila ndo hivo
 
ila natamani tena sana hadi nafikia hatua ya kuwaanzishia uzi lakini nasema ngoja ipite maana hatujuani
Yani mtu unahemuka kuandika uzi ili iweje sasa ndugu, nini kinachokuumiza ambacho ni asilia humu hadi unahangaika na kutapa tapa

ni nini haswa kinachowauma humu hadi kuanzishiana uzi kutukanana.

Hamna kazi za kufanya?, hamna hobbies ? Mnalipwa JF?

Mtu haumjui na haufaidiki hata ukimuita majina yote ila zaidi ni kuonesha wewe na yeye ni mbuzi meeh

Acheni ushamba
 
😁😁 ngoje wakuvamie na jeshi lao.
 
wewe mbweha mfyata mkia acha kubweteka bure au ni moja kati ya wanaoishi kwa shemeji. Mtu hujatajwa unatetemeka nini ndugu yangu mbona ukaragosi mwingi penye hamna. Muda mwingne jielewe wewe ni nani usifuatilie ya watu. Unaniandikia waraka ili iweje sasa. Sijataja mtu lakini inakuwa kama umetajwa wewe hayo mambo ya kukojolea nyuma kwangu no. Tuliza mshono jf ipo tutaiacha. Mtu akikereka na mtu asiseme kisa utamtolea matusi ebo! Yaan unakurupuka ni kama umeshtuliwa na dole mat corn. Umesema vizuri hatujuani lakin mbona mtoto wa kiume una mambo ya kike kike. Achana nayo.
 
Back
Top Bottom