Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Umempima ukamkuta ni wako, basi ni jambo hema, na Hilo litampa funzo kua ,Asije thubutu kuleta mzahaa Kwa kizazi chako.

Achana na masuala ya kuamin ... Wanawake Huwa wanapenda uwapige kipigo, lkn usiwape Emotional distress, unadhan kwann??.

Kipigo hakimpi onto Wala hakimbadili tabia.... Emotional distress ndo pekee unayoweza kuitumia Kumfanya aonyoke
Sahihi
 
Hata ningekua mimi ningegoma kama ni kweli sijachepuka. Kuna vitu sio rangi tu ambavyo mtoto anaweza chukua kwa wazazi. Nyie mmekazania rangi rangi kama kafuata kwa bibi mzaa babu yake shangazi.
Hiyo connection mbona ndefu sana?
 
Kwa tz hawatoi ya kweli,mwanzo walipokua wakitoa ya kweli ndoa zilivunjika na watoto kukosa matunzo,kwa kuwa jamhuri Haina uwezo wa kuhudumia watoto hao ikaona Bora ikubebeshe mzigo mwanaume wa kitanganyika maana wakiona pumbu hazitoshi kuwa mzigo
😅😅😅😅we jamaa
 
Muache mimi naamini jamaa hamna kitu hapo mke hawezi akawa na ujasili
Kiasi icho kama jamaa ana fiti kwenye sita kwa sita na zina leta good impact
Halafu badala yakukaa kimya anashirikisha wenzie, huko wanakokuwa na mkewe nako kawasimulia?[emoji3] kuna watu niwabishi wakati uwezo huo hana, mtu anakutunzia siri halafu yeye anapiga kelele yatamshuka mwache akapime.
 
[emoji23][emoji23] kwaza alishindwa kukuhesabu mara ya mwisho kukutana na lazima ujue kalenda ya mkeo
Mtu tuko bize na inflation na Katiba Mpya saaa huo muda wa kuanza kufatilia period za wake zetu utatoka wapi.
 
Hamna usomi mlichonacho ni ukiritimba wa mawazo na maarifa, kama huyu broo wako anahitaji vipimo vya DNA vya mtoto hakua na haja ya mashauriano na mkewe, alitakiwa atoke na mtoto ama achukue sample kimya kimya akaweke maabara tena kama inawezekana hata ya huyu mke aichukue kwa sirrrrrri sana.

Hapa kwa namna ya mambo yalivyo huyu kijana aliyepatikana kahongwa tuu na mke anajua wazi matokeo ya vipimo yatatokaje.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3581][emoji106]
 
Halafu badala yakukaa kimya anashirikish wenzie, huko wanakokuwa na mkewe nako kawasimulia?[emoji3] kuna watu niwabishi wakati uwezo huo hana, mtu anakutunzia siri halafu yeye anapiga kelele yatamshuka mwache akapime.

Iyo michezo tunasha ifanya islove sana mwisho wa siku baba anakubali kulea mtoto mbona kuna kiongoz tena wa kiume ni mgumba lakini mke kamstili kazaa njee watoto na mzee alipo kuja kujua kakausha
 
Mtu tuko bize na inflation na Katiba Mpya saaa huo muda wa kuanza kufatilia period za wake zetu utatoka wapi.

Ndio maana mnalea kojo la mtu mwingine

Endelea na kupambania katiba kaka mkeo anakuja geto nipa hai shem wake hapa [emoji23]
 
Hamna usomi mlichonacho ni ukiritimba wa mawazo na maarifa, kama huyu broo wako anahitaji vipimo vya DNA vya mtoto hakua na haja ya mashauriano na mkewe, alitakiwa atoke na mtoto ama achukue sample kimya kimya akaweke maabara tena kama inawezekana hata ya huyu mke aichukue kwa sirrrrrri sana.

Hapa kwa namna ya mambo yalivyo huyu kijana aliyepatikana kahongwa tuu na mke anajua wazi matokeo ya vipimo yatatokaje.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3581][emoji106]
Baada ya kupima yote hayo nayeye ajipime kama anatoaga mbegu au mapepe!
 
Hamna usomi mlichonacho ni ukiritimba wa mawazo na maarifa, kama huyu broo wako anahitaji vipimo vya DNA vya mtoto hakua na haja ya mashauriano na mkewe, alitakiwa atoke na mtoto ama achukue sample kimya kimya akaweke maabara tena kama inawezekana hata ya huyu mke aichukue kwa sirrrrrri sana.

Hapa kwa namna ya mambo yalivyo huyu kijana aliyepatikana kahongwa tuu na mke anajua wazi matokeo ya vipimo yatatokaje.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3581][emoji106]
Mkuu unazungumzia kupima DNA kama kupima mkojo vile.
 
Hamna usomi mlichonacho ni ukiritimba wa mawazo na maarifa, kama huyu broo wako anahitaji vipimo vya DNA vya mtoto hakua na haja ya mashauriano na mkewe, alitakiwa atoke na mtoto ama achukue sample kimya kimya akaweke maabara tena kama inawezekana hata ya huyu mke aichukue kwa sirrrrrri sana.

Hapa kwa namna ya mambo yalivyo huyu kijana aliyepatikana kahongwa tuu na mke anajua wazi matokeo ya vipimo yatatokaje.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3581][emoji106]

Wewe unauwelea usomi wa bongo hapa wengine ni wasomi wa kuruani huko na visomo vya uganga

Usomi wa dunia hapa bongo bado
 
Unadhani tatizo la kutotungisha mimba ni kubwa kiasi Gani katika jamii?

Hauna majukumu kisheria kulea mtoto asiye wako.

Naona kwanza apimwe mtoto hayo mengine atajijua mwenyewe.
Hilo tatizo lipo sana na tena nikubwa haswa sema kwa mwanaume kujulikana ni ngumu sana wake wanaficha siri sana
 
Back
Top Bottom