Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiUmempima ukamkuta ni wako, basi ni jambo hema, na Hilo litampa funzo kua ,Asije thubutu kuleta mzahaa Kwa kizazi chako.
Achana na masuala ya kuamin ... Wanawake Huwa wanapenda uwapige kipigo, lkn usiwape Emotional distress, unadhan kwann??.
Kipigo hakimpi onto Wala hakimbadili tabia.... Emotional distress ndo pekee unayoweza kuitumia Kumfanya aonyoke
Hiyo connection mbona ndefu sana?Hata ningekua mimi ningegoma kama ni kweli sijachepuka. Kuna vitu sio rangi tu ambavyo mtoto anaweza chukua kwa wazazi. Nyie mmekazania rangi rangi kama kafuata kwa bibi mzaa babu yake shangazi.
😅😅😅😅we jamaaKwa tz hawatoi ya kweli,mwanzo walipokua wakitoa ya kweli ndoa zilivunjika na watoto kukosa matunzo,kwa kuwa jamhuri Haina uwezo wa kuhudumia watoto hao ikaona Bora ikubebeshe mzigo mwanaume wa kitanganyika maana wakiona pumbu hazitoshi kuwa mzigo
Halafu badala yakukaa kimya anashirikisha wenzie, huko wanakokuwa na mkewe nako kawasimulia?[emoji3] kuna watu niwabishi wakati uwezo huo hana, mtu anakutunzia siri halafu yeye anapiga kelele yatamshuka mwache akapime.Muache mimi naamini jamaa hamna kitu hapo mke hawezi akawa na ujasili
Kiasi icho kama jamaa ana fiti kwenye sita kwa sita na zina leta good impact
Mtu tuko bize na inflation na Katiba Mpya saaa huo muda wa kuanza kufatilia period za wake zetu utatoka wapi.[emoji23][emoji23] kwaza alishindwa kukuhesabu mara ya mwisho kukutana na lazima ujue kalenda ya mkeo
Halafu badala yakukaa kimya anashirikish wenzie, huko wanakokuwa na mkewe nako kawasimulia?[emoji3] kuna watu niwabishi wakati uwezo huo hana, mtu anakutunzia siri halafu yeye anapiga kelele yatamshuka mwache akapime.
Rangui ndio kitu kiko wazi very objective hakihitaji hisia sana.Kama ni rangi tu imewatia jamba jamba huo usomi wenu ni usomi upi?
Wangezaa albino je?
Anyway alipisema waachane hapo ipo wazi mmepigwa
Mtu tuko bize na inflation na Katiba Mpya saaa huo muda wa kuanza kufatilia period za wake zetu utatoka wapi.
Baada ya kupima yote hayo nayeye ajipime kama anatoaga mbegu au mapepe!Hamna usomi mlichonacho ni ukiritimba wa mawazo na maarifa, kama huyu broo wako anahitaji vipimo vya DNA vya mtoto hakua na haja ya mashauriano na mkewe, alitakiwa atoke na mtoto ama achukue sample kimya kimya akaweke maabara tena kama inawezekana hata ya huyu mke aichukue kwa sirrrrrri sana.
Hapa kwa namna ya mambo yalivyo huyu kijana aliyepatikana kahongwa tuu na mke anajua wazi matokeo ya vipimo yatatokaje.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3581][emoji106]
Unadhani tatizo la kutotungisha mimba ni kubwa kiasi Gani katika jamii?Aanze kupima yeye ajitambue kama anauwezo wakuzalisha sio kukimbilia kumpima mtoto.
Mkuu unazungumzia kupima DNA kama kupima mkojo vile.Hamna usomi mlichonacho ni ukiritimba wa mawazo na maarifa, kama huyu broo wako anahitaji vipimo vya DNA vya mtoto hakua na haja ya mashauriano na mkewe, alitakiwa atoke na mtoto ama achukue sample kimya kimya akaweke maabara tena kama inawezekana hata ya huyu mke aichukue kwa sirrrrrri sana.
Hapa kwa namna ya mambo yalivyo huyu kijana aliyepatikana kahongwa tuu na mke anajua wazi matokeo ya vipimo yatatokaje.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3581][emoji106]
Hamna usomi mlichonacho ni ukiritimba wa mawazo na maarifa, kama huyu broo wako anahitaji vipimo vya DNA vya mtoto hakua na haja ya mashauriano na mkewe, alitakiwa atoke na mtoto ama achukue sample kimya kimya akaweke maabara tena kama inawezekana hata ya huyu mke aichukue kwa sirrrrrri sana.
Hapa kwa namna ya mambo yalivyo huyu kijana aliyepatikana kahongwa tuu na mke anajua wazi matokeo ya vipimo yatatokaje.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3581][emoji106]
Kwamba mtoto atokee bila kuwa na chochote Toka kwa wazazi wake?Hata ningekua mimi ningegoma kama ni kweli sijachepuka. Kuna vitu sio rangi tu ambavyo mtoto anaweza chukua kwa wazazi. Nyie mmekazania rangi rangi kama kafuata kwa bibi mzaa babu yake shangazi.
Unakausha tu mtu anajijua shoo yenyewe mbovu, mke ana mheshimu yeye angetulia tu.Iyo michezo tunasha ifanya islove sana mwisho wa siku baba anakubali kulea mtoto mbona kuna kiongoz tena wa kiume ni mgumba lakini mke kamstili kazaa njee watoto na mzee alipo kuja kujua kakausha
Baada ya kupima yote hayo nayeye ajipime kama anatoaga mbegu au mapepe!
Hilo tatizo lipo sana na tena nikubwa haswa sema kwa mwanaume kujulikana ni ngumu sana wake wanaficha siri sanaUnadhani tatizo la kutotungisha mimba ni kubwa kiasi Gani katika jamii?
Hauna majukumu kisheria kulea mtoto asiye wako.
Naona kwanza apimwe mtoto hayo mengine atajijua mwenyewe.
Za mama hazihusiki... Za baba na mtoto tuChukueni nywele za mama ... Za mtoto ... Na za baba mkapime [emoji16]
Unakausha tu mtu anajijua shoo yenyewe mbovu, mke ana mheshimu yeye angetulia tu.