Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Hii rahisi sana. Kinachohitajika ni vinasaba vya mtoto na aba. Baba amchukue achukue vinasaba vyake na mtoto apeleke kupima. Kwani lazima mama aambiwe? Vinasaba vya mama havihitajiki katika kupima DNA ya baba na mtoto. Vinasaba vya mama vinahitajika tu kuthibtisha kama huyo maa ni mama wa mtoto kweli. Saa sioni niny mnahangaika na huyo mama vipi. Chukuwa mwanao nenda mkapimwe DNA, kwisha. Au mnaogopa huyo mama atawakunja!
Shida huwa ni mchakato wake wanahitaji uwe kisheriaaa sio kiholela kama hivyoo.. Upitiee mahakamani sijui upewe kibali[emoji23][emoji23][emoji23] Mambo kibaoo ila nasikia ukitoaa mpunga mwingi chap tu. Jamaa aende na mwanae wakapime bila kumshirikisha mama.
 
Sio ukali hapo issue wewe baba kwanini um-doubt mtoto. Ina maana huniamini na unamkataa mtoto[emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa mi mtoto sina amani nae nataka niujue ukweli ila si expect response ya ukali. Always response ya aina hio inaashiria kutojiamini ambako kunakuwa backed up na vitabia flani vya kishetani ambavyo mwanamke anavyo ikiwa ni pamoja na uchepukaji.

Wanawake huwa naamini wanaelewaga mimba ni ya nani toka awali ila swala la kuikabidhi ataangalia sehemu ambapo anahisi mtoto wake atalelewa kwa amani.

Kigezo kikubwa mwanamke anachoangalia ni kuwa je, mtoto huyo baba yake ana hela. Ikiwa baba mwenye uwezo kamkataa kibabe basi jua atasakiziwa asiye na uwezo alimradi tu anajua mtoto atasitirika. Ishu inakuja ambapo huyu baba wa kusakiziwa amekuwa makini zaidi kufuatilia mimba na akahisi kapigwa.
 
Kitendo cha kupima dna ni wazi huna iman na mke wako ilo ni doa kubwa sana kwenye mahusiano ni bora ufanye sirisiri

Would rather ufumbie macho ukweli? Hata pale unapoona unadhulumiwa? I say no kataa unyonge mwanaume
 
Sawa mi mtoto sina amani nae nataka niujue ukweli ila si expect response ya ukali. Always response ya aina hio inaashiria kutojiamini ambako kunakuwa backed up na vitabia flani vya kishetani ambavyo mwanamke anavyo ikiwa ni pamoja na uchepukaji.

Wanawake huwa naamini wanaelewaga mimba ni ya nani toka awali ila swala la kuikabidhi ataangalia sehemu ambapo anahisi mtoto wake atalelewa kwa amani.

Kigezo kikubwa mwanamke anachoangalia ni kuwa je, mtoto huyo baba yake ana hela. Ikiwa baba mwenye uwezo kamkataa kibabe basi jua atasakiziwa asiye na uwezo alimradi tu anajua mtoto atasitirika. Ishu inakuja ambapo huyu baba wa kusakiziwa amekuwa makini zaidi kufuatilia mimba na akahisi kapigwa.
Sisi tumesimuliwa tunajuaje huyu jamaa kama kaongeza chumvi kumfanya shemeji yake aonekane mbaya. Maana hatukuwepo kny eneo la tukio [emoji846][emoji846]
 
Lazima mazaa ana mtu wake pembeni. So kukimbilia kuachana inamaana kwamba aawe huru amfate mru wake. Sasa hapo ni kusema sawa aondoke na kitoto chache kisha ni suala la muda tu fuatilia maendeleo yake utagundua miezi hata mi 3 hauishi tyr deal done. So DNA automatically inakuwa imeshapiwa hapo bila daktari na mwanasheria
 
Imewahi tokea mwenye mtoto halisi kuvamia ndoa ya mtu na kumdai mtoto wake. Yaani pana baba kalea mtoto akijua ni wake hadi kamaliza shule akajitokeza jamaa wa nje ya ndoa anadai mtoto ni wake,yaani amezaa na mke wa mtu.
 
Mtoto kuzaliwa mweupe siyo ishu,rangi nyeupe ni dominant sana,mimi ni maji ya kunde na mke wangu ni mweusi kwao lakini nikipata mtoto mweupe kabisa ila kichwa kafanana na mimi kama kwenye ukoo Kuna backgrounds za watu weupe ni kawaida
Ishu ni kuwa mtoto hajafanana kabisa na baba wala mama kwa kila kitu hata rangi,,,hapo unashauri nini??
 
Kama mtoto n wako mbona n rahis kumjua s lazima mkapime alafu Kwan ilikuwa lazima amwambie mke wake s angechunguza kimya kimya tu anapima mbona unless labda n chai
 
Imewahi tokea mwenye mtoto halisi kuvamia ndoa ya mtu na kumdai mtoto wake. Yaani pana baba kalea mtoto akijua ni wake hadi kamaliza shule akajitokeza jamaa wa nje ya ndoa anadai mtoto ni wake,yaani amezaa na mke wa mtu.
Huyo wa nje alikuwa anatafuta Kifo. Mbona anajiamini sana
 
Si ambebe mtoto akampime kimya kimya. Hawa wanawake Wana siri nyingi Sana, unalea mtoto sio wako anakung'ong'a unavyojitutumua.
Hapo ndio inaboa sana. Usiku hulali mtoto ana homa unajichanga changa hospitali anakuangalia tu. Huku mwanaume mwingine anatumiwa msg tu. Tumeenda hosp na yula fala😅😅
 
Back
Top Bottom