Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
tarudi kwangu takula
erooo unaandika kama demu aseeee
erooo unaandika kama demu aseeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu maisha ya Askari wengi ni umalaya na pombe. Ndo maana nimesema hapo siku zote huwa namuacha na Askari wenzie kitaa sa sjui huwa anarudi saa ngapi kwake. Maana yake hayo ni maisha yake nilimkuta nayo.Kwani huyi mumewe kaanza kutoka na kuchelewa kurudi kwake baada ya wewe kuhamia huko au kabla?
hicho kisa kama changu kwa shangazi yangu alielolewa na mjomba anguUko sahihi lakini msimamo wangu siwezi Acha kwenda kwa ndugu yangu kwa namna yoyote kisa mwanamke kikubwa nisiwaingilie mambo yao wala nisiulize yasiyonihusu hata kama yananihusu wasponiambia nisiulize huo na wala sili wala kunywa pale kwao. ILA la kutoenda kwa ndugu yangu tena wa damu Hilo asahau kama yule mwanamke anataka nisikanyage pale basi MUMEWE ndo aniambie nisiende kwake si mpuuzi mwingine....[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji779]
Sasa kama umemkuta na hayo maisha ya nini mkewe kukutolea macho, jiepushe nae, wanawake akili zao mbovu ipo siku atakudhalilisha itaonekana kama mnagombea bwana.Mkuu maisha ya Askari wengi ni umalaya na pombe. Ndo maana nimesema hapo siku zote huwa namuacha na Askari wenzie kitaa sa sjui huwa anarudi saa ngapi kwake. Maana yake hayo ni maisha yake nilimkuta nayo.
Sasa usiwe unaenda, au hadi siku akutamkie laivu uumie?Rudia kusoma nilichoandika utaona nimesema hata maji ya kunywa tu toka huu mwaka umeanza sjanywa pale.
Shughuri kvp mi huku nipo kikazi nakuwa free kuanzia saa kumi jioni labda mda huo wa jioni niutafutie fursa ya kupiga helaJaribu kujikeep busy na Mambo yako, Kama bado mgeni hapo tafuta shughuli yoyote ya kufanya.
Huyo shemeji yako ni mchoyo na inaonekana hataki kabisa ndg wa mumewe wakanyage hapo. Na ndio walivyo wake wa maaskari wanawapanda Sana waume zao kichwani.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu weka mipaka ushkaji gani kila siku mnakua kama njiwa,epuka lawama ,ukiishi na mkeo utaelewa wanawake akili zao juu ya marafiki za waume waoKARIBUNI kwa maoni wenye uzoefu wa haya mambo.....
😂😂😂😂 Dada yako si ni mke wangu maana ndiye anaujua uanaume wangu huwa mnanijadili akikutembelea.Kiukweli sitaki kusema lolote litakalokuvunjia heshima ila kwani kuna dalili yoyote ya huyo mwanamke kuonyesha wewe kuwa haupo sawa?sijui naliwekaje hili ili nieleweke na usininukuu vibaya ila we si unaonekana mwanaume kamili hata karibu ya huyo shemeji yako?
Nina mke na Nina mji wng tabia mbaya kwa mke wa kulaumiwa ni mwanaume ukichelewa akakuwahi ndo hapo hata mama yako mzazi kwako atapaona Gereza hatokanyaga ukichelewa ujue ndugu zako wote hutowaona utabaki we na mkeo na ndugu wa mkeo tu, mke wangu nilishamuwahi kitambo Sana ujue wanawake wao huwa wanapambana kumtawala mwanaume na si vinginevyo lazma umuwahi kwa kila jaribu lake ananyooka kbs tena amani inaatawala sana ndani maana anakua ameshajua mipaka yake na principles zako haendi nje ya hapo. Sjawahi mpiga wala hata kumtishia mke wangu maana anaijua mipaka yake havuki nampenda ananipenda......Mkuu weka mipaka ushkaji gani kila siku mnakua kama njiwa,epuka lawama ,ukiishi na mkeo utaelewa wanawake akili zao juu ya marafiki za waume wao