Shemeji yangu anaona wivu mimi kuwa karibu na mumewe

Shemeji yangu anaona wivu mimi kuwa karibu na mumewe

Unafuatana fuatana na mwanaume mwenzio, mara ushike simu yake, mkewe kakumind nawe umemind. Hapo kinachoendelea ni nini?
Unafuatana fuatana na mwanaume mwenzio, mara ushike simu yake, mkewe kakumind nawe umemind. Hapo kinachoendelea ni nini?
 
Ushakuwa mtu mzima sasa, mambo ya kupitiana maskani kwenda kwenye mitoko ilikuwa enzi za utoto kupitiana kwenda kucheza kombolela mtaa wa tatu...

Kama mnapatana kukutana, kutaneni mbele kwa mbele, kama unaenda kwa nduguyo basi nenda kusalimia, na ikiwa ni lazima sana kutoka wakati mwingine hiyo mitoko imjumuishe na shemeji yako maana naye ameshakuwa nduguyo...

Pia siku nyingine ukienda kwa nduguyo, usiende mikono mitupu, beba vizawadi zawadi, matunda, misosi uone kama shemejiyo atakuwa na reaction anayokufanyia, mzee huwajui wamama kwani?
 
Mkuu mambo ya mke kutoka na mume yanawahusu wao sina muda huo watu wanapigana mpk mke ana shika kisu kumchoma mume kisa michepuko ndo Mimi nijipendekeze eti watoke out wote kama wao wameshindwa Mimi ni Nani sasa....
Ulitakiwa uwe kiungo cha kuwaunganisha
 
Uko sahihi lakini msimamo wangu siwezi Acha kwenda kwa ndugu yangu kwa namna yoyote kisa mwanamke kikubwa nisiwaingilie mambo yao wala nisiulize yasiyonihusu hata kama yananihusu wasponiambia nisiulize huo na wala sili wala kunywa pale kwao. ILA la kutoenda kwa ndugu yangu tena wa damu Hilo asahau kama yule mwanamke anataka nisikanyage pale basi MUMEWE ndo aniambie nisiende kwake si mpuuzi mwingine....😬😬😬😬❗
Epusha shari maana wakijaachana hawawezi kukuoa wewe.
Kama kukutana kutana juu kwa juu tu huko.
Mimi nilikuwa na mshikaji wangu yani ni zaidi ya mshikaji, akaja kumuoa dada flani ambaye ukweki alikuwa classmate wangu na mimi ndie niliwaconnect. Baada ya muda nikaanza kuona mapicha picha, nikapunguza kuwatembelea, mimi na jamaa uwa tunakutana juu kwa juu.
Ndoa yao ni muhimu mkuu huna haja ya kushindana na mke wake.
 
Mambo yao waachie wenyewe, wewe fanya yako...
 
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana.....

Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari.

Nilipofika nilifikia kwake kama siku tatu hivi nikawa nimehamia kwenye nyumba niliyokuwa nimeandaliwa na ofisi.

Nilifurahi Sana kukutana na ndugu yangu kwani tumekua wote tumesoma wote na hata alipoondoka kwenda depo alitokea kwangu yaani nilikuwa naishi naye kabla hata sijaoa.

Sa imekuwa kawaida nikitoka kazini yeye jioni hunitafuta au Mimi humtafuta tunatoka kidogo kisha usiku by saa mbili mi huwa tayari nmerudi kwangu lakini ndugu yangu huwa mara zote namuacha huko mtaani na jamaa zake sjui huwa anarudi kwake saa ngapi.

Nilianza kuhisi ni kama shemeji yangu mke wa ndugu yangu anahisi mume wake anapochelewa kurudi anadhani huwa Niko naye wakati si kweli akiamini mi ndo namchelewesha nilihisi Hilo mapema sana ila nikapotezea tu.

Sasa imeibuka tabia ambayo ni mpya ndugu yangu siku zingine huwa ananipigia simu nipite kwake kumpitia lakini kuna kitu nakiona ni kama mke wa ndugu yangu anajaribu kushindanisha ni Nani mwenye nguvu kwa mume wake je ni yeye mke au Mimi ndugu kwani wakati mwingine naweza nikawa nimekaa namsubiri ndugu yangu tutoke unashangaa mkewe anaongelea dirishani akiwa nje WE BABA FULANI USTOKE.....🤔 Mi kama kawa sjari kabisa hata ila huwa nashangaa tu.

Na kinachonishangaza mara nyingi nikiwa pale ndo utashangaa anamuomba mumewe hela hadharani kuna siku alimuomba hela mumewe akamwambia sina weeee dada aliwaka OOOH MBONA WENGINE WAKIKUOMBA UNAWAPA...🤔 nilishtuka Sana Ile kauli maana ni kama alikuwa ananilenga Mimi as if mi huwa namuomba hela mumewe wakati mumewe ndo huwa namtoa sana.

Kingine akiona nimeshika simu ya mumewe weeee huo mdomo utakavyovutwa nadhan mnaelewa wanaume ukiwa na mshikaji wako kushika simu yake ni kawaida sana.

Nilichogundua Yule shemeji yangu anaona kama ndugu yangu Yuko vizuri Sana na Mimi story kucheka Sana sasa ni kama hiyo Hali inamuumiza Sana kwamba kwanini mumewe hacheki naye Sana wala kupiga naye Sana story kama anavyokuwa na Mimi.

Anatumia nguvu nyingi kutaka kuonyesha ye ana nguvu kwa mumewe kuliko Mimi ndugu wa mumewe.

Cha ajabu pale kwake hata maji tu huu mwaka toka umeanza sjanywa hata maji kwake chakula ndo kabisa hata nikute wanakula sili tarudi kwangu takula niliamua hivyo maana wanawake bwana hivi ni vitu vidogo Sana lakini kwao ni vikubwa nadhani wenye uzoefu mnanielewa yaani mkeo anaweza akamnyanyasa Sana ndugu yako kisa ugari tu japo si wote.

SASA WAKUU HIVI NI KWANINI WANAWAKE WAKE ZA WATU HUWA WANALAZIMISHA WAWE NA NGUVU KWA WAUME ZAO KULIKO NDUGU WA MUME WAKATI HIZO NI NAFASI MBILI TOFAUTI MAANA MI SIWEZI KUWA MKE WA NDUGU YANGU WALA MKE WA NDUGU YANGU HAWEZI CHUKUA NAFASI YA UNDUGU WANGU KWA MUMEWE. ndoa huvunjika ila udugu ni wa milele wanawake Wana shida gani kwenye hili?
Mpka nilikuwa nawaza ingetokea mi nimekuja huku may be sina ramani naishi hapo kwake uwenda ndo ningejua kwanini Putin Hana picha akiwa anacheka...

KARIBUNI kwa maoni wenye uzoefu wa haya mambo.....
rudi nyumbani kwako, iachie ndoa ya watu, wacha wafurahie ndoa yao, uwepo wako hapo unatia doa ndoa yao, hujioni, hauoni aibu tu? unashika simu ya mume wa mtu ya nini? si ukute anakuona hakuelewi usijemuibia ndoa yake, ukienda kwa watu ukaona hupendwi, ondoka, usisababishe wakosane kwasababu yako. ondoka, huna kwenu? achia ndoa ya watu.
 
rudi nyumbani kwako, iachie ndoa ya watu, wacha wafurahie ndoa yao, uwepo wako hapo unatia doa ndoa yao, hujioni, hauoni aibu tu? unashika simu ya mume wa mtu ya nini? si ukute anakuona hakuelewi usijemuibia ndoa yake, ukienda kwa watu ukaona hupendwi, ondoka, usisababishe wakosane kwasababu yako. ondoka, huna kwenu? achia ndoa ya watu.
😂😂😂😂👆 Pepo lingine hili hapa eti nisisababishe wakosane 😂😂😂😂😂 halafu mi ndo huwa wananiita kuwasuluhisha tena huyohuyo mwanamke mwenzio we unayajua maisha ya Askari wengi wewe....😂😂😂😂 Kama hujui tuliza kijambio hicho na huo mku.ma wako. Kama mpaka mwanamke anamshikia kisu mumewe wanakimbzana hovyo bado msaada wangu wa wao kukosana unahitajika hapo. Sasa kwenda taenda tu na muda si mrefu nmemuacha bwana ake na mchepuko wake wenye mimba kubwa tu nimewaacha wanapiga kinywaji
 
Mpe yote anayompa shemejio, pumbavu
😂😂😂😂😂 Wasenge nyie si kuendekeza kabisa ni kuwawahi mapema kbs otherwise si ndugu wa mume tu hata wazazi wa mume watakosana na mtoto wao kisa Malaya mmoja hivi kama wewe mnatakaga kutawala wanaume na huwa mnaanza kwa kumtenganisha na watu wake wote wa karibu mpk wazazi wake halafu mtoto wa watu anaishi kama Yuko kisiwani. Hilo kwa mke wangu nilishalidhibiti ana mipaka yake. Sa we simbilisi ukikutana na kichwa kama hiki ni moja tu hutaki ndugu zangu na hutakiwi kwangu kwisha. Ronaldo alipga chini mkewe kwa ujinga wa mkewe kumpangia jamaa aishi vipi na mama yake shaabashiiiii😂😂😂😂
 
Kwani huyi mumewe kaanza kutoka na kuchelewa kurudi kwake baada ya wewe kuhamia huko au kabla?
No noooo ndo maisha yake na huwa anatoka na Askari wenzie ni kawaida kabisa halafu Mimi si mtu wa bata kbs ndo maana huwa namuacha na wenzie narudi zangu kwangu
 
Usiache kwenda kwa ndugu Yako, we nenda maana siku ukipata shida au yeye akipata shida, wewe ndo wa kwanza kumsaidia. Huyo mwanamke ana roho mbaya na ya ghubu sana.
 
😂😂😂😂👆 Pepo lingine hili hapa eti nisisababishe wakosane 😂😂😂😂😂 halafu mi ndo huwa wananiita kuwasuluhisha tena huyohuyo mwanamke mwenzio we unayajua maisha ya Askari wengi wewe....😂😂😂😂 Kama hujui tuliza kijambio hicho na huo mku.ma wako. Kama mpaka mwanamke anamshikia kisu mumewe wanakimbzana hovyo bado msaada wangu wa wao kukosana unahitajika hapo. Sasa kwenda taenda tu na muda si mrefu nmemuacha bwana ake na mchepuko wake wenye mimba kubwa tu nimewaacha wanapiga kinywaji
hujisikii vibaya kama mwanaume, kwamba mwanamke anakuonea wivu kuwa karibu na mume wake? huoni kama ni tusi la ajabu hilo? ningekuwa mimi ningesepa hata hapa jf nizingekuja kuandika. hapo ni sawa na anakuhisi unaweza kumchukulia bwanake. acha ujinga, ondoka kwenye ndoa ya watu.
 
hujisikii vibaya kama mwanaume, kwamba mwanamke anakuonea wivu kuwa karibu na mume wake? huoni kama ni tusi la ajabu hilo? ningekuwa mimi ningesepa hata hapa jf nizingekuja kuandika. hapo ni sawa na anakuhisi unaweza kumchukulia bwanake. acha ujinga, ondoka kwenye ndoa ya watu.
Vp mbona povu Sana kwani mke wa huyu jamaa ni dada yako au uko bleed hasira zote unataka punguzia kwangu? 😂😂😂😂 Nmeshasema siachi onana na ndugu yangu wala kwenda kwake siachi yaani kutembeleana kuko palepale haya andamana sasa 😂😂😂😂 siyumbishwi na mwanamke wala sina habari kbs na vituko vyake.
 
Back
Top Bottom