Shemeji yangu anaona wivu mimi kuwa karibu na mumewe

Wakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana.....

Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari.

Nilipofika nilifikia kwake kama siku tatu hivi nikawa nimehamia kwenye nyumba niliyokuwa nimeandaliwa na ofisi.

Nilifurahi Sana kukutana na ndugu yangu kwani tumekua wote tumesoma wote na hata alipoondoka kwenda depo alitokea kwangu yaani nilikuwa naishi naye kabla hata sijaoa.

Sa imekuwa kawaida nikitoka kazini yeye jioni hunitafuta au Mimi humtafuta tunatoka kidogo kisha usiku by saa mbili mi huwa tayari nmerudi kwangu lakini ndugu yangu huwa mara zote namuacha huko mtaani na jamaa zake sjui huwa anarudi kwake saa ngapi.

Nilianza kuhisi ni kama shemeji yangu mke wa ndugu yangu anahisi mume wake anapochelewa kurudi anadhani huwa Niko naye wakati si kweli akiamini mi ndo namchelewesha nilihisi Hilo mapema sana ila nikapotezea tu.

Sasa imeibuka tabia ambayo ni mpya ndugu yangu siku zingine huwa ananipigia simu nipite kwake kumpitia lakini kuna kitu nakiona ni kama mke wa ndugu yangu anajaribu kushindanisha ni Nani mwenye nguvu kwa mume wake je ni yeye mke au Mimi ndugu kwani wakati mwingine naweza nikawa nimekaa namsubiri ndugu yangu tutoke unashangaa mkewe anaongelea dirishani akiwa nje WE BABA FULANI USTOKE.....🤔 Mi kama kawa sjari kabisa hata ila huwa nashangaa tu.

Na kinachonishangaza mara nyingi nikiwa pale ndo utashangaa anamuomba mumewe hela hadharani kuna siku alimuomba hela mumewe akamwambia sina weeee dada aliwaka OOOH MBONA WENGINE WAKIKUOMBA UNAWAPA...🤔 nilishtuka Sana Ile kauli maana ni kama alikuwa ananilenga Mimi as if mi huwa namuomba hela mumewe wakati mumewe ndo huwa namtoa sana.

Kingine akiona nimeshika simu ya mumewe weeee huo mdomo utakavyovutwa nadhan mnaelewa wanaume ukiwa na mshikaji wako kushika simu yake ni kawaida sana.

Nilichogundua Yule shemeji yangu anaona kama ndugu yangu Yuko vizuri Sana na Mimi story kucheka Sana sasa ni kama hiyo Hali inamuumiza Sana kwamba kwanini mumewe hacheki naye Sana wala kupiga naye Sana story kama anavyokuwa na Mimi.

Anatumia nguvu nyingi kutaka kuonyesha ye ana nguvu kwa mumewe kuliko Mimi ndugu wa mumewe.

Cha ajabu pale kwake hata maji tu huu mwaka toka umeanza sjanywa hata maji kwake chakula ndo kabisa hata nikute wanakula sili tarudi kwangu takula niliamua hivyo maana wanawake bwana hivi ni vitu vidogo Sana lakini kwao ni vikubwa nadhani wenye uzoefu mnanielewa yaani mkeo anaweza akamnyanyasa Sana ndugu yako kisa ugari tu japo si wote.

SASA WAKUU HIVI NI KWANINI WANAWAKE WAKE ZA WATU HUWA WANALAZIMISHA WAWE NA NGUVU KWA WAUME ZAO KULIKO NDUGU WA MUME WAKATI HIZO NI NAFASI MBILI TOFAUTI MAANA MI SIWEZI KUWA MKE WA NDUGU YANGU WALA MKE WA NDUGU YANGU HAWEZI CHUKUA NAFASI YA UNDUGU WANGU KWA MUMEWE. ndoa huvunjika ila udugu ni wa milele wanawake Wana shida gani kwenye hili?
Mpka nilikuwa nawaza ingetokea mi nimekuja huku may be sina ramani naishi hapo kwake uwenda ndo ningejua kwanini Putin Hana picha akiwa anacheka...

KARIBUNI kwa maoni wenye uzoefu wa haya mambo.....
Hebu achana na maisha yao. Mwishowe atakuja kusema "unampakua" mme wake bure.
 
Mtoa mada ana dalili za uchoko...straight forward achana na familia na huyo ndugu yako
 
Vp mbona povu Sana kwani mke wa huyu jamaa ni dada yako au uko bleed hasira zote unataka punguzia kwangu? 😂😂😂😂 Nmeshasema siachi onana na ndugu yangu wala kwenda kwake siachi yaani kutembeleana kuko palepale haya andamana sasa 😂😂😂😂 siyumbishwi na mwanamke wala sina habari kbs na vituko vyake.
ofcourse sina hasira, wala mambo yako wewe na mme wa mtu hayanihusu. kwaheri. sikujua kama naongea na watu wa pande ile. bye.
 
Nani anawafatilia? Kuna mahali nimesema nawafatilia? 😂😂😂😂 Wadada wengine bhana 😂😂😂😂😂
Kwa majibu haya....wewe ndo mwenye shida.Afu inaonyesha nduguyo anakauwezo inayokupeleka ni njaa
 
😂😂😂😂😂 Wasenge nyie si kuendekeza kabisa ni kuwawahi mapema kbs otherwise si ndugu wa mume tu hata wazazi wa mume watakosana na mtoto wao kisa Malaya mmoja hivi kama wewe mnatakaga kutawala wanaume na huwa mnaanza kwa kumtenganisha na watu wake wote wa karibu mpk wazazi wake halafu mtoto wa watu anaishi kama Yuko kisiwani. Hilo kwa mke wangu nilishalidhibiti ana mipaka yake. Sa we simbilisi ukikutana na kichwa kama hiki ni moja tu hutaki ndugu zangu na hutakiwi kwangu kwisha. Ronaldo alipga chini mkewe kwa ujinga wa mkewe kumpangia jamaa aishi vipi na mama yake shaabashiiiii😂😂😂😂
Nasema hivi lazima akuonee wivu si mnashea dudu
 
Njaa zitakuua mkuu...tengeneza kwako achana na maisha ya watu.Shame on u!
 
can you imagine mwanaume anashika shika simu ya mwanaume mwenzie ambaye tena ni mume wa mtu? tena mbele ya mkewe? huyu jamaa yupo sawa kweli?
 
Kwa haraka haraka unaonekana wewe ndio mwenye matatizo.
 
Bro, sorry lakini haya ni mambo ya kike!! Nawe una element za kumfuatilia mienendo mke wa nduguyo! Mambo ya kike kabisa, mawifi ndiyo ugomvi wao huanzia hapo nachojua mashemeji hupendana sana! Una madhaifu somewhere yanayokuingiza kwenye ushindani baina yako na mke wa nduguyo! Change
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa ana mambo ya kiwifi wifi.
 
Njaa zitakuua mkuu...tengeneza kwako achana na maisha ya watu.Shame on u!
😂😂😂😂 Nungaiyembe bhana kusoma hujui hata picha huoni tu kuna mahali nmeandika hapo naishi kwa ndugu yng kwa taarifa yako Yule ndugu ni mdogo kwangu ametokea kwangu kwenda depo ya magereza katokea kwangu mi nafanya kazi kwenye shirika ....... Kuna mradi upo huku takuwepo kwa miaka 2 Nina uwezo wa kukulisha we na bwana ako mnuka uchi weweee......
 
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana.....

Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari.

Nilipofika nilifikia kwake kama siku tatu hivi nikawa nimehamia kwenye nyumba niliyokuwa nimeandaliwa na ofisi.

Nilifurahi Sana kukutana na ndugu yangu kwani tumekua wote tumesoma wote na hata alipoondoka kwenda depo alitokea kwangu yaani nilikuwa naishi naye kabla hata sijaoa.

Sa imekuwa kawaida nikitoka kazini yeye jioni hunitafuta au Mimi humtafuta tunatoka kidogo kisha usiku by saa mbili mi huwa tayari nmerudi kwangu lakini ndugu yangu huwa mara zote namuacha huko mtaani na jamaa zake sjui huwa anarudi kwake saa ngapi.

Nilianza kuhisi ni kama shemeji yangu mke wa ndugu yangu anahisi mume wake anapochelewa kurudi anadhani huwa Niko naye wakati si kweli akiamini mi ndo namchelewesha nilihisi Hilo mapema sana ila nikapotezea tu.

Sasa imeibuka tabia ambayo ni mpya ndugu yangu siku zingine huwa ananipigia simu nipite kwake kumpitia lakini kuna kitu nakiona ni kama mke wa ndugu yangu anajaribu kushindanisha ni Nani mwenye nguvu kwa mume wake je ni yeye mke au Mimi ndugu kwani wakati mwingine naweza nikawa nimekaa namsubiri ndugu yangu tutoke unashangaa mkewe anaongelea dirishani akiwa nje WE BABA FULANI USTOKE.....[emoji848] Mi kama kawa sjari kabisa hata ila huwa nashangaa tu.

Na kinachonishangaza mara nyingi nikiwa pale ndo utashangaa anamuomba mumewe hela hadharani kuna siku alimuomba hela mumewe akamwambia sina weeee dada aliwaka OOOH MBONA WENGINE WAKIKUOMBA UNAWAPA...[emoji848] nilishtuka Sana Ile kauli maana ni kama alikuwa ananilenga Mimi as if mi huwa namuomba hela mumewe wakati mumewe ndo huwa namtoa sana.

Kingine akiona nimeshika simu ya mumewe weeee huo mdomo utakavyovutwa nadhan mnaelewa wanaume ukiwa na mshikaji wako kushika simu yake ni kawaida sana.

Nilichogundua Yule shemeji yangu anaona kama ndugu yangu Yuko vizuri Sana na Mimi story kucheka Sana sasa ni kama hiyo Hali inamuumiza Sana kwamba kwanini mumewe hacheki naye Sana wala kupiga naye Sana story kama anavyokuwa na Mimi.

Anatumia nguvu nyingi kutaka kuonyesha ye ana nguvu kwa mumewe kuliko Mimi ndugu wa mumewe.

Cha ajabu pale kwake hata maji tu huu mwaka toka umeanza sjanywa hata maji kwake chakula ndo kabisa hata nikute wanakula sili tarudi kwangu takula niliamua hivyo maana wanawake bwana hivi ni vitu vidogo Sana lakini kwao ni vikubwa nadhani wenye uzoefu mnanielewa yaani mkeo anaweza akamnyanyasa Sana ndugu yako kisa ugari tu japo si wote.

SASA WAKUU HIVI NI KWANINI WANAWAKE WAKE ZA WATU HUWA WANALAZIMISHA WAWE NA NGUVU KWA WAUME ZAO KULIKO NDUGU WA MUME WAKATI HIZO NI NAFASI MBILI TOFAUTI MAANA MI SIWEZI KUWA MKE WA NDUGU YANGU WALA MKE WA NDUGU YANGU HAWEZI CHUKUA NAFASI YA UNDUGU WANGU KWA MUMEWE. ndoa huvunjika ila udugu ni wa milele wanawake Wana shida gani kwenye hili?
Mpka nilikuwa nawaza ingetokea mi nimekuja huku may be sina ramani naishi hapo kwake uwenda ndo ningejua kwanini Putin Hana picha akiwa anacheka...

KARIBUNI kwa maoni wenye uzoefu wa haya mambo.....
Pole sana, hayo ni mambo ya kawaida kwa baadhi ya wanawake, ila ni jambo dogo kwa mtoto wa kiume, sasa ni hivi huyo jamaa yako hamjajuana hapo ulipoenda ila mda kidogo tofauti na Shemeji yako .

Hivyo tumia njia yoyote yenye kheri kupunguza au acha kabisa kwenda kwa rafiki yako ila jitaidi umpe sababu hata ya ubize ili yeye akufuate yeye mkutane na udugu uendelee ila katu usiseme chochote juu ya shemeji yako kwa huyo nduguyo.

Hapo hutasikia tena makelele Endelea na maisha yako bila kumtenga jamaa yako kisa mke.

Ni ushauri tu

TEKERI
 
Kwa haraka haraka unaonekana wewe ndio mwenye matatizo.
Mbona povu Sana na wewe unataka nn? 🖕🖕🖕🖕🖕 Njooo huku nikuunganishe na huyu mwanamke mwenzio tuone sjawahi tikiswa na mwanamke kwa ndugu yng taenda tu haya kufa tuzike 🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕😂😂😂😂😂
 
can you imagine mwanaume anashika shika simu ya mwanaume mwenzie ambaye tena ni mume wa mtu? tena mbele ya mkewe? huyu jamaa yupo sawa kweli?
you imagine mwanaume anashika shika simu ya mwanaume mwenzie ambaye tena ni mume wa mtu? tena mbele ya mkewe? huyu jamaa yupo sawa kweli?🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
 
Njaa zitakuua mkuu...tengeneza kwako achana na maisha ya watu.Shame on u!
Njaaa 😂😂😂😂😂 naweza kukulisha ww na ukoo wako wote. Endelea kujikoboa huko kwa ndugu yng taenda Sana nkiwa free taenda tu haya jiue sasa 🖕🖕🖕🖕🖕🖕
 
Mtoa mada ana dalili za uchoko...straight forward achana na familia na huyo ndugu yako
🖕🖕🖕😂😂😂😂😂 Choko huwa nafurana na ww au siyo. Tena muda c mrefu nilikuwa na ndugu yangu twapiga story za hapa na pale haya jinyeeeee
 
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Choko huwa nafurana na ww au siyo. Tena muda c mrefu nilikuwa na ndugu yangu twapiga story za hapa na pale haya jinyeeeee
Wewe ni choko plain, jinyee wewe unayefirwa na ndugu yako mpaka mke wake anakuonea wivu
 
Hivi ilikuweje Ukraine wakakapa haka kanjemba uraisi!!???
yani kama hapa bongo tukape uraisi Ka stiv Nyerere utakuwa ni utaahira!!!
 
Wewe ni choko plain, jinyee wewe unayefirwa na ndugu yako mpaka mke wake anakuonea wivu
👆Wewe ni choko plain, jinyee wewe unayefirwa na ndugu yako mpaka mke wake anakuonea wivu 😂😂😂😂👆👆🖕🖕🖕🖕🖕
 
Back
Top Bottom