Unajua ukishakua mtu mzima tumia akili zako za kiutu uzima.
Kwa hiyo kila akikuita unajikurupua kwenda?
Hebu tafuta circle nyingine..... na simaanishi msionane la..tafuta circle nyingine!!!!!!
Hao marafiki zake wengine umewaona hapo nyumbani kwake mara nyingi kama wewe?
Inawezekena usiweze kumfundisha kutumia muda na mkewe ila jiondoe kuonekana kuwa wewe ndio chawa/kupe unamganda baba wa watu...unaweza kupata lawaza zisizokuwa na kichwa wala miguu zikakuharibia reputation yako!!!
Mwisho, bado sio sahihi mtu mzima kutumia simu ya mwenzio. Huna bando ila mnapata hela ya beer???ok tuseme huna kitu mwambie akuhamishie ununue, siku hizi inawezekana kununua muda wa maongezi kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine bila shida. Wenza ndio wanashikiana simu. Badilika.