SawaNilivyokua mdogo nilikua nashangaa watu wanagombanaje kwa vitu vidogo namna ile, kumbe kuna mambo yanayoonekana madogo lakini ni mazito mno. Kulinda amani yako na ya Ndugu yako, Weka mipaka usiende kwa nduguyo kama hakuna Sababu maalum. Watakuheshimu kuanzia huyo shemeji.
Unajua ukishakua mtu mzima tumia akili zako za kiutu uzima.Mkuu si siku zote nipo na ndugu yangu na mara zote ye ndo huniita jioni nikiwa free maana Mimi huku ni mgeni pia huyu ndugu huku ana miaka sasa ana marafiki zake pia ana maaskari wenzie mtumiaji mzuri wa kilevi ILA mi stumii kilevi na siku zote huwa namuacha na wenzake huko mtaani.
Khs simu kwa akili yako inavyokutuma kwamba ni kosa kushika simu ya ndugu yako au rafiki yako may be labda ana dk au ana data kuna kitu unatka kufanya kisha kumrudshia.
Mambo ya kukaa na familia yake mi yananihusu nini wakati mi nimewakuta wanaishi hivyo na jamaa ana michepuko yake huko kitaa sa kama hakai na mkewe mi ndo nimfundishe au hayo hayanihusu.
Unajua ukishakua mtu mzima tumia akili zako za kiutu uzima.
Kwa hiyo kila akikuita unajikurupua kwenda?
Hebu tafuta circle nyingine..... na simaanishi msionane la..tafuta circle nyingine!!!!!!
Hao marafiki zake wengine umewaona hapo nyumbani kwake mara nyingi kama wewe?
Inawezekena usiweze kumfundisha kutumia muda na mkewe ila jiondoe kuonekana kuwa wewe ndio chawa/kupe unamganda baba wa watu...unaweza kupata lawaza zisizokuwa na kichwa wala miguu zikakuharibia reputation yako!!!
Mwisho, bado sio sahihi mtu mzima kutumia simu ya mwenzio. Huna bando ila mnapata hela ya beer???ok tuseme huna kitu mwambie akuhamishie ununue, siku hizi inawezekana kununua muda wa maongezi kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine bila shida. Wenza ndio wanashikiana simu. Badilika.
Mke anahisi mnyamwez geyi nn... hahahaa kwa nn ajshindanishe sasa na mwanaumeWakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana.....
Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari.
Nilipofika nilifikia kwake kama siku tatu hivi nikawa nimehamia kwenye nyumba niliyokuwa nimeandaliwa na ofisi.
Kuna kaukweli hapa aisee π€π€π€π€Ni wazi mke ana hitaji sana time na huyo mumewe sasa anamdondoshea zigo kila atakaye kuwa karibu na mumewe.
Na kwa taarifa yako jamaa akichelewa kurudi huwa anamuambia mke wake kuwa amechelewa kwasababu alikua alikua na wewe bar na ndiyo maana unanuniwa.
Anza kumkataa jamaa kijanja punguza ukaribu usiwe chanzo cha migogoro kwenye hiyo ndoa.
Mkuu samahani kwa nitachokuuliza, au basi.Kingine akiona nimeshika simu ya mumewe weeee huo mdomo utakavyovutwa nadhan mnaelewa wanaume ukiwa na mshikaji wako kushika simu yake ni kawaida sana.
Mkuu mambo ya mke kutoka na mume yanawahusu wao sina muda huo watu wanapigana mpk mke ana shika kisu kumchoma mume kisa michepuko ndo Mimi nijipendekeze eti watoke out wote kama wao wameshindwa Mimi ni Nani sasa....Sehemu ndogo tu ulikosea, ulitakiwa wakati unatoka na rafiki yako, umshawishi atoke na mkewe pia. Hapo ungejiongezea thamani; kwa walioko kwenye ndoa, mume/mke ni watu muhimu zaidi kuliko wazazi au ndugu.
Mbona unajam sasa we mzee wakati hata sijauliza chochote? kwani umehisi nini?Kuhusu simu? Uliza pumba zako tu kushika Simu ya mtu mnayefahamiana ni kawaida hata ofisini mtu kuomba Simu yangu ampigie mtu ni kawaida kikubwa asiangalie yasiyomuhusu
Sina maisha ya kujipendekeza kwa mwanadamu asiye na connection yoyote ya maana kwangu watu hawampendi mpk Mungu sembuse MimiSehemu ndogo tu ulikosea, ulitakiwa wakati unatoka na rafiki yako, umshawishi atoke na mkewe pia. Hapo ungejiongezea thamani; kwa walioko kwenye ndoa, mume/mke ni watu muhimu zaidi kuliko wazazi au ndugu.
Sina maisha ya kujipendekeza kwa mwanadamu asiye na connection yoyote ya maana kwangu watu hawampendi mpk Mungu sembuse MimiSehemu ndogo tu ulikosea, ulitakiwa wakati unatoka na rafiki yako, umshawishi atoke na mkewe pia. Hapo ungejiongezea thamani; kwa walioko kwenye ndoa, mume/mke ni watu muhimu zaidi kuliko wazazi au ndugu.
πππππππ₯°"Kingine akiona nimeshika simu ya mumewe weeee huo mdomo utakavyovutwa nadhan mnaelewa wanaume ukiwa na mshikaji wako kushika simu yake ni kawaida sana."
Kwa uandishi huu, inaashiria una tabia za kishoga.
Hiyo Shem yupo sawa
Unafuatana fuatana na mwanaume mwenzio, mara ushike simu yake, mkewe kakumind nawe umemind. Hapo kinachoendelea ni nini?Hapana ni msagaji mwenzio
KARIBUNI kwa maoni wenye uzoefu wa haya mambo.....