Shemeji yangu anaona wivu mimi kuwa karibu na mumewe

Unafuatana fuatana na mwanaume mwenzio, mara ushike simu yake, mkewe kakumind nawe umemind. Hapo kinachoendelea ni nini?
Unafuatana fuatana na mwanaume mwenzio, mara ushike simu yake, mkewe kakumind nawe umemind. Hapo kinachoendelea ni nini?
 
Ushakuwa mtu mzima sasa, mambo ya kupitiana maskani kwenda kwenye mitoko ilikuwa enzi za utoto kupitiana kwenda kucheza kombolela mtaa wa tatu...

Kama mnapatana kukutana, kutaneni mbele kwa mbele, kama unaenda kwa nduguyo basi nenda kusalimia, na ikiwa ni lazima sana kutoka wakati mwingine hiyo mitoko imjumuishe na shemeji yako maana naye ameshakuwa nduguyo...

Pia siku nyingine ukienda kwa nduguyo, usiende mikono mitupu, beba vizawadi zawadi, matunda, misosi uone kama shemejiyo atakuwa na reaction anayokufanyia, mzee huwajui wamama kwani?
 
Mkuu mambo ya mke kutoka na mume yanawahusu wao sina muda huo watu wanapigana mpk mke ana shika kisu kumchoma mume kisa michepuko ndo Mimi nijipendekeze eti watoke out wote kama wao wameshindwa Mimi ni Nani sasa....
Ulitakiwa uwe kiungo cha kuwaunganisha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Epusha shari maana wakijaachana hawawezi kukuoa wewe.
Kama kukutana kutana juu kwa juu tu huko.
Mimi nilikuwa na mshikaji wangu yani ni zaidi ya mshikaji, akaja kumuoa dada flani ambaye ukweki alikuwa classmate wangu na mimi ndie niliwaconnect. Baada ya muda nikaanza kuona mapicha picha, nikapunguza kuwatembelea, mimi na jamaa uwa tunakutana juu kwa juu.
Ndoa yao ni muhimu mkuu huna haja ya kushindana na mke wake.
 
Mambo yao waachie wenyewe, wewe fanya yako...
 
Mpe yote anayompa shemejio, pumbavu
 
rudi nyumbani kwako, iachie ndoa ya watu, wacha wafurahie ndoa yao, uwepo wako hapo unatia doa ndoa yao, hujioni, hauoni aibu tu? unashika simu ya mume wa mtu ya nini? si ukute anakuona hakuelewi usijemuibia ndoa yake, ukienda kwa watu ukaona hupendwi, ondoka, usisababishe wakosane kwasababu yako. ondoka, huna kwenu? achia ndoa ya watu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘† Pepo lingine hili hapa eti nisisababishe wakosane πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu mi ndo huwa wananiita kuwasuluhisha tena huyohuyo mwanamke mwenzio we unayajua maisha ya Askari wengi wewe....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama hujui tuliza kijambio hicho na huo mku.ma wako. Kama mpaka mwanamke anamshikia kisu mumewe wanakimbzana hovyo bado msaada wangu wa wao kukosana unahitajika hapo. Sasa kwenda taenda tu na muda si mrefu nmemuacha bwana ake na mchepuko wake wenye mimba kubwa tu nimewaacha wanapiga kinywaji
 
Mpe yote anayompa shemejio, pumbavu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wasenge nyie si kuendekeza kabisa ni kuwawahi mapema kbs otherwise si ndugu wa mume tu hata wazazi wa mume watakosana na mtoto wao kisa Malaya mmoja hivi kama wewe mnatakaga kutawala wanaume na huwa mnaanza kwa kumtenganisha na watu wake wote wa karibu mpk wazazi wake halafu mtoto wa watu anaishi kama Yuko kisiwani. Hilo kwa mke wangu nilishalidhibiti ana mipaka yake. Sa we simbilisi ukikutana na kichwa kama hiki ni moja tu hutaki ndugu zangu na hutakiwi kwangu kwisha. Ronaldo alipga chini mkewe kwa ujinga wa mkewe kumpangia jamaa aishi vipi na mama yake shaabashiiiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakioana msiwafuatilie jaman
Nani anawafatilia? Kuna mahali nimesema nawafatilia? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wadada wengine bhana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani huyi mumewe kaanza kutoka na kuchelewa kurudi kwake baada ya wewe kuhamia huko au kabla?
No noooo ndo maisha yake na huwa anatoka na Askari wenzie ni kawaida kabisa halafu Mimi si mtu wa bata kbs ndo maana huwa namuacha na wenzie narudi zangu kwangu
 
Usiache kwenda kwa ndugu Yako, we nenda maana siku ukipata shida au yeye akipata shida, wewe ndo wa kwanza kumsaidia. Huyo mwanamke ana roho mbaya na ya ghubu sana.
 
hujisikii vibaya kama mwanaume, kwamba mwanamke anakuonea wivu kuwa karibu na mume wake? huoni kama ni tusi la ajabu hilo? ningekuwa mimi ningesepa hata hapa jf nizingekuja kuandika. hapo ni sawa na anakuhisi unaweza kumchukulia bwanake. acha ujinga, ondoka kwenye ndoa ya watu.
 
Vp mbona povu Sana kwani mke wa huyu jamaa ni dada yako au uko bleed hasira zote unataka punguzia kwangu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nmeshasema siachi onana na ndugu yangu wala kwenda kwake siachi yaani kutembeleana kuko palepale haya andamana sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ siyumbishwi na mwanamke wala sina habari kbs na vituko vyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…