Timua aende kwaoShemeji yangu sasa kanogewa kwangu, amemaliza chuo 2020, bado anasema anasikilizia mchongo.
Shemeji Anashindia TV, kupiga stori na mdada wa kazi na vijiweni
Namuambia ajifunze ufundi anasema yeye anasema muda wake maalumu utafika
DuuhAnza kumgonga dada yake hovyo hovyo, iwe sebuleni, jikoni na kila sehemu na uhakikishe jamaa ana uwezekano mkubwa wa kuwakutaniza. Ikitokea akaona kama mara tatu na bado akaendelea kukaa kwako, njoo uninyofoe oesophagus
Kwenye maelezo ya mleta mada amesha muambia akajifunze ufundi yuko tiyari kumlipia ada lakini amekataa kwa hiyo aendelee kumuacha azidi kupotea ?Una fahamu changamoto za ajira mkuu hao binaadamu hawashindi ndani kwa kupenda
Angalia wewe unafanya kazi gani? Mshike mkono awe hata anashinda hapo kazini na uzuri yeye ana elimu kama kazi yako inahitaji elimu ataongezea hapo hapo
Kama kazi za viduka na kujiajiri utamwambia atumie elimu yake kuiinua ofice ipande kimauzo
Hawa watu sio wa kuwakaumu ni wakuwashka mkono kwa hali na mali ili kesho na kesho kutwa wakiwa sehemu nzur watoe ushuhuda na wewe ukiwa sehemu nzur ya story sio utolewe kama story mbaya na chukizo
Kwenye maelezo ya mleta mada amesha muambia akajifunze ufundi yuko tiyari kumlipia ada lakini amekataa kwa hiyo aendelee kumuacha azidi kupotea ?
Kukaa kwa mtu kipindi ambacho mambo hayakuendei vizuri sio jambo baya lakini unatakiwa kukaa kimkakati na sio kwenda ulna kujigeuza kama mtoto wake na kuwa mzingo kwake.
Leo hii Afrika imejaa umasikini kwa sababu ya kuendekeza upumbavu kama huu.M
Mtoa mada anasingizia tu hapo nani aambiwe akajifunze kitu akakataaKwenye maelezo ya mleta mada amesha muambia akajifunze ufundi yuko tiyari kumlipia ada lakini amekataa kwa hiyo aendelee kumuacha azidi kupotea ?
Kukaa kwa mtu kipindi ambacho mambo hayakuendei vizuri sio jambo baya lakini unatakiwa kukaa kimkakati na sio kwenda ulna kujigeuza kama mtoto wake na kuwa mzingo kwake.
Leo hii Afrika imejaa umasikini kwa sababu ya kuendekeza upumbavu kama huu.
Ipi bora, mdogo wako ampe huduma Dada wa kazi hapo ili ufanisi wa kazi uongezeke, au awe anatoka nje kufanya dyudyu, au kuleta mwanaume ndani kwako, au mumeo aanze kumla Dada wa kazi.Na muda mwingi ni kuwalala mahousegirl,yaani mkiondoka wao ndio wanapiga show hadi kwenye masofa ambayo watoto wakitoka shule ndio biscuits zao zinagalagala hapo,🙂↕️🙂↕️
Wenda hata ww ni kama ambaye ongelewa na mtoa mada.Mtoa mada anasingizia tu hapo nani aambiwe akajifunze kitu akakataa
Kwanza ameshaanza na kashfa ya shemeji yangu mara anapiga story tu dada wa kazi
Yeye amchukue ampeleke kazini kwake sio ampeleke sijui wap akafanye naye kazi kwake anapofanya kaz
Tena hao wanaofanya kazi bank ni rahisi sana kumshika mkono mtu kama huyo, hapo bank unaweza hata kumfanyia mpango akawa msafishaji huku anasikilizia ajira juu kwa juuWenda hata ww ni kama ambaye ongelewa na mtoa mada.
Ya kwamba huyo mleta mada kama atakuwa ameajiliwa benk amchukue huyo shemeji yake ampeleka alipo ajiliwa amuweke uko awe anashinda huko benk? uko sawa kweli ww ?
Alafu kwanza kijana wa miaka 25 una nguvu ,huna ugonjwa wowote ,una viungo vyote vya mwili hata kwa baba yako aliye kuzaa hutakiwi kuishi sembuse kwa shemeji yako?
Wewe mwenyewe roho mbaya inakusumbuaWenda hata ww ni kama ambaye ongelewa na mtoa mada.
Ya kwamba huyo mleta mada kama atakuwa ameajiliwa benk amchukue huyo shemeji yake ampeleka alipo ajiliwa amuweke uko awe anashinda huko benk? uko sawa kweli ww ?
Alafu kwanza kijana wa miaka 25 una nguvu ,huna ugonjwa wowote ,una viungo vyote vya mwili hata kwa baba yako aliye kuzaa hutakiwi kuishi sembuse kwa shemeji yako?
Ningemjua huyo jamaa ningempa sapot kubwa sana sio kashfa hizo anazopata hapoWenda hata ww ni kama ambaye ongelewa na mtoa mada.
Ya kwamba huyo mleta mada kama atakuwa ameajiliwa benk amchukue huyo shemeji yake ampeleka alipo ajiliwa amuweke uko awe anashinda huko benk? uko sawa kweli ww ?
Alafu kwanza kijana wa miaka 25 una nguvu ,huna ugonjwa wowote ,una viungo vyote vya mwili hata kwa baba yako aliye kuzaa hutakiwi kuishi sembuse kwa shemeji yako?
HahahaNa muda mwingi ni kuwalala mahousegirl,yaani mkiondoka wao ndio wanapiga show hadi kwenye masofa ambayo watoto wakitoka shule ndio biscuits zao zinagalagala hapo,🙂↕️🙂↕️
Be rationalMiaka 6!Hapo wa kumlaumu mkeo kabla ya shemeji..mimi hapana siwezi kukaa na mdogo wangu miaka sita tangu amalize chuo,angechagua kurudi nyumbani au angeenda kupanga
Waleeni watoto wenu kikamanda gentleman 😄hauna kashamba mahali?
ili ukienda nae na kushinda nae huko kwenye kakibanda ka shamba, kisha unamwambia unatoka kidogo, ila yeye asitoke shamba mpaka urudi,
na siku ukirudi,
unaenda na vikuku vya kufuga, hata vitatu au vinne hivi, awe anashinda navyo huko shamba, taratibu atazoe kazi za kilimo na ufugaji kuku na kuipenda hasa hivyo vikuku vikianza kutaga huku akipata mayai ya kula yeye na kuuza ili apate hela ya bando na kumuondolea stress za unyonge wa kiuchumi.
utakua umemsaidia sana na hatakusahau kamwe