Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

Ila JF ya siku hizi bana kha!

Uzi wa kipumbavu kama huu hauwezi kufutwa. Weka uzi wa maana ukihoji wizi wa CCM chap mods wanapita nao.

Inashangaza sana!
Weka tu mkuu uzi wako wa maana, ukifutwa tutapambana urudishwe.
 
A
Chana na mke wa mtu matatizo yao hayakuhusu kama unataka amani achana na huyo shemeji Yako, urafiki wenu utakufa na kuzaa uadui mkubwa siku jamaa akijua unamla mkewe, umeisha anza tamaa eti keupe kazuri , fala sana wewe, mapenzi Huwa hayafichiki na wanawake ni wanafiki sana , mwanamke avumilie kiapo Cha ndoa , ajue kabisa kwenye ndoa Kuna maradhi, Kuna kuyumba kiuchumi , lazima akubaliane na Hali zote kama hawezi ni Bora aachike
 
Kwanini mkuu mbona shem bado sijamla?
Kua na mazoea tu na mke wa mwenzio ni usnitch ,huu uzi pia namna ulivyouadress inaonesha wazi una tamaa za fisi hasa kwa kumuanika mwenzio eti sijui hamridhi na umama mwingi. Wewe huwezi kua rafiki hata kidogo umejaa tamaa.
 
Picha ya mstari mwekundu ulio vukwa tafadhali,
Ukweli ni kuwa safari ndefu huchosha. Pili kukaa sana kunaunguza mshipa wa kusimamisha...
Tatu warangi wanapenda ngono. Nne mke wa mtu ni sumu,
Tano aziniye na mwanamke ni mjinga kabisa, afanya KITU kitakachomwangamiza nafs yake...
Angalia usije ukawa mjinga unayejiangamiza nafsi
 
Ushauri wako ni mzuri sana. Asante mkuu
 
Mzee unapata wapi ujasiri wa kuongea na mke wa mtu tena shemeji yako kabisa "eti mume wake hamridhishi?"

Halafu eti na wew tena unaenda kumwambia mshikaji wako eti shem anasema humridhishi na jamaa hashtuki wala hashangai inakuaje mnaongea mambo hayo??😂

Inaonekena kabisa we jamaa umetafuna mke mshikaji wako sio bure.
 
mkaze
 
Yeye kaniletea kama kesi ili niongee na mwamba kama ana limama linalommaliza nguvu huko njiani aachane nalo ili aelekeze nguvu hizo kwa mkewe. Nilipoongea na mwamba ndo akanihakikishia kuwa hana mmama wowote, sema michoko tu ya kazi ndo inamfanya ashindwe kutoa haki kwa mkewe.

Hivyo mimi sina kosa mkuu maana nimeletewa kesi na mimi nikajaribu kuitafutia ufumbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…