Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chana na mke wa mtu matatizo yao hayakuhusu kama unataka amani achana na huyo shemeji Yako, urafiki wenu utakufa na kuzaa uadui mkubwa siku jamaa akijua unamla mkewe, umeisha anza tamaa eti keupe kazuri , fala sana wewe, mapenzi Huwa hayafichiki na wanawake ni wanafiki sana , mwanamke avumilie kiapo Cha ndoa , ajue kabisa kwenye ndoa Kuna maradhi, Kuna kuyumba kiuchumi , lazima akubaliane na Hali zote kama hawezi ni Bora aachikeHabari zenu wanaJF wenzangu
Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja.
Miaka miwili iliyopita rafiki yangu huyu akaamua atimize nguzo muhimu ya maisha kwa kuoa kabinti keupe na kazuri ka kirangi kutoka kondoa. Baada ya harusi maisha ya ndoa yakaanza kila mmoja wao akifurahia kuoa/kuolewa na mwenzake.
Rafiki yangu huyu ni dereva wa matraki makubwa yanayokwenda nje ya nchi, hivyo muda mwingi humkuta akiwa safarini, na anaporudi huwa ni mtu wa kuchoka choka na kulala lala muda wote. Kwa kipindi cha mwaka mmoja wao wa ndoa jamaa angu alikuwa anajitahidi kutimiza haki za mkewe kwa upande wa kodi ya meza, haki ya kitanda, tiba kwenye maradhi nk hivyo ndoa ilikuwa inakwenda vizuri tu.
Mwaka uliofuatia ambao ndio huu wa pili, hali imekuwa tofauti kwa rafiki yangu kurudi safarini akiwa amechoka sana na hivyo muda mwingine kushindwa kutimiza haki ya kitanda kwa ukamilifu wake. Kwa mujibu wa shemeji yangu, anadai yeye huwa anapenda mtu wa kuchukua angalau dakika 35 na kuendelea akiwa juu ya kifua. Na round takriban angalau ziwe 2 au tatu ndo atatosheka. Shemej anasema mwanzoni homeboy alikuwa anajitahidi kwenda sawa, lakini jinsi miezi na miaka sasa inavyokwenda ndo jinsi mwamba anavyozidi kupunguza speed aliyokuwa nayo mwanzo. Mara kabla ya kumaliza povu linamtoka na kuishia njiani bila kumaliza mechi. Mara akimaliza round 1 hawezi kurudia ya pili.
Hali iliendelea hivyo mara shem uzalendo ukamshinda akawa ananiletea kesi niongee na jamaa angu. Jamaa nikiongea nae ananambia anashindwa kukamilisha kile alichozoea kwa sababu ya mchoko wa kazi zake za safarini. So akawa anaomba amvumilie tu kila kitu kitakuwa sawa mbeleni.
Baada ya kuona hakuna mabadiliko ndo akaamua kuniambia kuwa atachukua hatua ambayo hatohitaji lawama, maana hatimiziwi vizuri haja zake. Au kama inawezekana basi niingilie kati kuokoa jahazi mapema kabla halijazama.
So wazee hapa nichukue uamuzi gani ili kusave tatizo la jamaa angu? Maana ni kama vile anahitaji mimi niwe namkaza sawa sawa ili kuziba pengo la mwanangu analoliacha kutokana na safari pamoja na mchoko wa safari kila anaporudi.
Kua na mazoea tu na mke wa mwenzio ni usnitch ,huu uzi pia namna ulivyouadress inaonesha wazi una tamaa za fisi hasa kwa kumuanika mwenzio eti sijui hamridhi na umama mwingi. Wewe huwezi kua rafiki hata kidogo umejaa tamaa.Kwanini mkuu mbona shem bado sijamla?
Ukweli ni kuwa safari ndefu huchosha. Pili kukaa sana kunaunguza mshipa wa kusimamisha...Picha ya mstari mwekundu ulio vukwa tafadhali,
Abomination
Ushauri wako ni mzuri sana. Asante mkuuA
Chana na mke wa mtu matatizo yao hayakuhusu kama unataka amani achana na huyo shemeji Yako, urafiki wenu utakufa na kuzaa uadui mkubwa siku jamaa akijua unamla mkewe, umeisha anza tamaa eti keupe kazuri , fala sana wewe, mapenzi Huwa hayafichiki na wanawake ni wanafiki sana , mwanamke avumilie kiapo Cha ndoa , ajue kabisa kwenye ndoa Kuna maradhi, Kuna kuyumba kiuchumi , lazima akubaliane na Hali zote kama hawezi ni Bora aachike
Wala usilaze damu....Nimekusoma vizuri tu mwana. Asante kwa ushauri
mkazeHabari zenu wanaJF wenzangu
Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja.
Miaka miwili iliyopita rafiki yangu huyu akaamua atimize nguzo muhimu ya maisha kwa kuoa kabinti keupe na kazuri ka kirangi kutoka kondoa. Baada ya harusi maisha ya ndoa yakaanza kila mmoja wao akifurahia kuoa/kuolewa na mwenzake.
Rafiki yangu huyu ni dereva wa matraki makubwa yanayokwenda nje ya nchi, hivyo muda mwingi humkuta akiwa safarini, na anaporudi huwa ni mtu wa kuchoka choka na kulala lala muda wote. Kwa kipindi cha mwaka mmoja wao wa ndoa jamaa angu alikuwa anajitahidi kutimiza haki za mkewe kwa upande wa kodi ya meza, haki ya kitanda, tiba kwenye maradhi nk hivyo ndoa ilikuwa inakwenda vizuri tu.
Mwaka uliofuatia ambao ndio huu wa pili, hali imekuwa tofauti kwa rafiki yangu kurudi safarini akiwa amechoka sana na hivyo muda mwingine kushindwa kutimiza haki ya kitanda kwa ukamilifu wake. Kwa mujibu wa shemeji yangu, anadai yeye huwa anapenda mtu wa kuchukua angalau dakika 35 na kuendelea akiwa juu ya kifua. Na round takriban angalau ziwe 2 au tatu ndo atatosheka. Shemej anasema mwanzoni homeboy alikuwa anajitahidi kwenda sawa, lakini jinsi miezi na miaka sasa inavyokwenda ndo jinsi mwamba anavyozidi kupunguza speed aliyokuwa nayo mwanzo. Mara kabla ya kumaliza povu linamtoka na kuishia njiani bila kumaliza mechi. Mara akimaliza round 1 hawezi kurudia ya pili.
Hali iliendelea hivyo mara shem uzalendo ukamshinda akawa ananiletea kesi niongee na jamaa angu. Jamaa nikiongea nae ananambia anashindwa kukamilisha kile alichozoea kwa sababu ya mchoko wa kazi zake za safarini. So akawa anaomba amvumilie tu kila kitu kitakuwa sawa mbeleni.
Baada ya kuona hakuna mabadiliko ndo akaamua kuniambia kuwa atachukua hatua ambayo hatohitaji lawama, maana hatimiziwi vizuri haja zake. Au kama inawezekana basi niingilie kati kuokoa jahazi mapema kabla halijazama.
So wazee hapa nichukue uamuzi gani ili kusave tatizo la jamaa angu? Maana ni kama vile anahitaji mimi niwe namkaza sawa sawa ili kuziba pengo la mwanangu analoliacha kutokana na safari pamoja na mchoko wa safari kila anaporudi.
We mpelekee moto mwanangu, kumbe bado tu.Nifanye kweli au sio..?
Yeye kaniletea kama kesi ili niongee na mwamba kama ana limama linalommaliza nguvu huko njiani aachane nalo ili aelekeze nguvu hizo kwa mkewe. Nilipoongea na mwamba ndo akanihakikishia kuwa hana mmama wowote, sema michoko tu ya kazi ndo inamfanya ashindwe kutoa haki kwa mkewe.Mzee unapata wapi ujasiri wa kuongea na mke wa mtu tena shemeji yako kabisa "eti mume wake hamridhishi?"
Halafu eti na wew tena unaenda kumwambia mshikaji wako eti shem anasema humridhishi na jamaa hashtuki wala hashangai inakuaje mnaongea mambo hayo??😂
Inaonekena kabisa we jamaa umetafuna mke mshikaji wako sio bure.