Shepu inayostaili kula hela za mwanaume (kupiga mizinga)

Angalau huyu naweza mpa pesa kidogo kama asante. Huyu utamu anakuwa nao tu asikusanganye mtu eti hawana utamu. Mi nmekula sana wa aina hii.
Hawa ndio wanatakiwa watuumize sisi wanaume vichwa; sasa utakuta mwanaume mwingine anasumbuliwa au kuendeshwa na hizi shepu za kawaida mpaka anapoteza mwelekeo.​
 
Uzuri wa chupa ya maziwa haitoi uhalali wa utamu wa maziwa yenyewe mkuu. Nina ushahidi nina msukuma mmoja ninae yupo kama uyo ila napiga hesabu kumtema tu, bado walopita wengine nikiwaona hata hamu nao sina.
 
Ebu tupatie namba yake
 
Mkuu shape pekee ndo ikufanye utoe hela...vipi kuhusu akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…