MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kama unafundishwa ukweli na hutaki kuukubali basi wewe unayo Chuki binafsi isiyokuwa na msingi dhidi ya Uisilamu, sasa siwezi kukulazimisha ukubali kwani huwezi kumuamsha mtu anayejifanya kalala bali unaweza kumuamsha mtu aliyelala, wewe umejifanya kulala.
Huna haja ya kunifundisha maana sitaki kuijua dini yenu hiyo ambapo mpo kama mazombi vile, ila nachojua mnatusumbua duniani kisa maagizo mliyopewa kwenye maandiko yenu dini, hamtaki kutulia kama dini zingine akina budha, hindu na wengine, wao wanafanya yao kwa utulivu wala hauwaskii wakichinja chinja na kulazimisha dini, nyie haya maagizo ndio laana yenu...
Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”