Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Kama unafundishwa ukweli na hutaki kuukubali basi wewe unayo Chuki binafsi isiyokuwa na msingi dhidi ya Uisilamu, sasa siwezi kukulazimisha ukubali kwani huwezi kumuamsha mtu anayejifanya kalala bali unaweza kumuamsha mtu aliyelala, wewe umejifanya kulala.

Huna haja ya kunifundisha maana sitaki kuijua dini yenu hiyo ambapo mpo kama mazombi vile, ila nachojua mnatusumbua duniani kisa maagizo mliyopewa kwenye maandiko yenu dini, hamtaki kutulia kama dini zingine akina budha, hindu na wengine, wao wanafanya yao kwa utulivu wala hauwaskii wakichinja chinja na kulazimisha dini, nyie haya maagizo ndio laana yenu...

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Utatumia nguvu sana kumtenga Yesu na Ukristo... Mohamad ajijaribu hakuweza na hata wewe mfuasi wake hutaweza.
Nazungumzia kalenda ya Gregory na yesu,ama kiimani yesu alikua myahudi,akiamini juu ya mungu mmoja tu Kama wayahudi wasminivyo,yaani Yahweh, Jehova, hosannah nk...(majina ya mungu) wakiristo wao mungu wao yesu
 
Mumeamrishwa mchinje kila asiye muislamu, nyie tunaoishi nanyi mitaani kwa amani ni ile tu mumekiuka maagizo yenu, tungenyukana sana, yale Malshabaabi na boko-haram ndio wanafuata maagizo ipasavyo

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Duh kazi wanayo.....ndio mana kutwa chuki na ubaguzi umewajaa kumbe wana mapungufu lukuki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ni wakristo mlioko kifungoni.
Jaribu kuset hiyo simu yako kwenye calenda ya kiislamu uone kama hata whatsapp utaitumia
Utawaua ndg[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mwaka, masaa ni jambo la kufikirika lisilo halisi. Hakuna tofauti kati ya j4 na j5, mwaka jana na mwaka juzi utofauti ni matendo ya binadamu.
Jidanganye,kuna uhalisia mkubwa sana kwenye kalenda.
Kila mwaka inajulikana masika ni mwezi wa ngapi ,kiangazi mwezi wa ngapi,vuki,kipupwe.
Wazungu wana four season,summer,spring,winter,autumn,na kila mwaka ni miezi hiyohiyo so hii kitu ni real sio ya kufikirika japo ilibuniwa na human being.
Shangaa menstruation cycle ina siku 28 sawa na mwezi mmoja.
Aliyebuni kalenda ni genius
 
Unavuka kwenda wapi na kalendar haikuhusu,hizi kalendar ni vitu vya kubuni,wachina wana calendar yao inaanza mwezi wa pili,waarabu wanayao ila zimeouuzwa na ulimwengu
Dah....wacha upuuzi... kalenda unayotumia kulipa/kupokea mshahara.....unayotumia kupanga bajeti zako....au hata kumpanga dem wako ndiyo kalenda yako....heri ya mwaka mpya 🤣
 
Dah....wacha upuuzi... kalenda unayotumia kulipa/kupokea mshahara.....unayotumia kupanga bajeti zako....au hata kumpanga dem wako ndiyo kalenda yako....heri ya mwaka mpya 🤣
Unaijua asili yake lakini
 
Jidanganye,kuna uhalisia mkubwa sana kwenye kalenda.
Kila mwaka inajulikana masika ni mwezi wa ngapi ,kiangazi mwezi wa ngapi,vuki,kipupwe.
Wazungu wana four season,summer,spring,winter,autumn,na kila mwaka ni miezi hiyohiyo so hii kitu ni real sio ya kufikirika japo ilibuniwa na human being.
Shangaa menstruation cycle ina siku 28 sawa na mwezi mmoja.
Aliyebuni kalenda ni genius
Uhalisia kwenye kichwa chako. Binadamu tuna imagination zetu tunazoamini ni halisi. Duniani kuna usiku na mchana, masika na kiangazi, vuli n.k haya mengine ni imagination zetu
 
h
Aliyeanzisha dini simjui, ila aliyeanzisha ukombozi namjua, ni Yesu Kristo kutoka mbinguni.
hata huku umepigwa pia ,zote hizo ni project za watu hutakaa kumuona muhamad wala yesu zaidi ya kuchezewa fikra zako ili uwatajirishe wakina mwamposa
 
Hiyo imani kwamba Yesu alikufa, akafufuka nk, hiyo imani haina faida kwangu bali inakufaa wewe chenye faida kwangu ni hiyo kalenda faida kwa kwa ajili ya (matumizi ya muda) tu., ni kalenda ya kikafiri (kama unavyodai) yenye faida kwetu, mtume (saw) amesema tuchukue kitu chenye faida KUTOKA POPOTE.
Huwezi kuitenganisha hiyo kalenda na Yesu Kristo kwa sababu yenyewe inahesabiwa kutokea kuzaliwa kwa Kristo.

Yesu Kristo ndio msingi wa hesabu ya hiyo miaka.

Yani unaposema huu ni mwaka 2023, maana yake ni mwaka 2023 baada ya Kuzaliwa Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

Happy New Year 2023.
 
Kwa hiyo hamusherehekei, lakini munautumia mwaka huohuo (Wa wakristo) kupanga mipango yenu ya kila siku....

Aiseeee
Hakuna ubaya kutumia vitu vya kilimwengu kwenye mambo ya kilimwengu, kuna ubaya gani kukwambia tutaonana kesho tarehe 4 na ndio tarehe pekee unayoijua?.
 
Na nikwanini hao waonyaji wametokea hapo mashariki ya Kati tu? Kwanini isiwe China India amerika nakadhalika
Hakuna ardhi wala kijiji chochote isipokuwa mtume alipelekwa kuwaonya watu wake, ni mtu asiye na akili pekee atakayeamini kuwa mitume walitokea mashariki ya kati pekee.

amesema allah hali ya kuwa ametukuka: "....na hapana uma wowote isipokuwa alipita kati yao muonyaji.."

QURAN 35:24

Unachopaswa kukijua ni kuwa kuna mitume wametajwa kwenye quran na wengine hawakutajwa.

"Na mitume tuliokwisha kukusimulia habari zao hapo kabla, na mitume wengine ambao hatukukusimulia habari zao, na allah alizungumza na musa kwa maneno.."

Quran 4:164

shukran.
 
Back
Top Bottom