Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
Unauliza mkuu au?Matumizi ya alama hakuna?!Kumaanisha kuwa li-Covid 19 halituhusu wabongo sema wachache wetu wanajipendekeza kwalo, hakuna aliyevaa chupi ya mdomo(barakoa) hata mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza mkuu au?Matumizi ya alama hakuna?!Kumaanisha kuwa li-Covid 19 halituhusu wabongo sema wachache wetu wanajipendekeza kwalo, hakuna aliyevaa chupi ya mdomo(barakoa) hata mmoja.
Halafu anazingiwa mzungu eti ndio kikwazo cha kutoendelea,Ndio tatizo la kuwa na viongozi wasio na maono
Huwezi kula bata wakati huna njaaBabako aache kujenga mle bata ila muendelelee kujenga
Stupidity utakula majengoBabako aache kujenga mle bata ila muendelelee kujenga
Halafu anazingiwa mzungu eti ndio kikwazo cha kutoendelea,
Muhimu kwake sifa hata Jamii ikiteseka
Hata ikulu ya Simiyu wapo pia ?Ikulu zote nchini wapo tayari
maguuu oyeeeeeeeCCM oyeee
Wamemuexpose bibi wa watu. Ka virus kakimpata basi tutamsahau.Siyo.pia kumuweka Mama.Maria hivyo
Kwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!
Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.
Mpya kwa sababu ya ikulu ya Chamwino?Nafatilia hapa naiona Tanzania mpya chini ya jpm
Narudia tena zoteHata ikulu ya Simiyu wapo pia ?