Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

MWANAJESHI AVUA GWANDA AMUIGIZA RAIS MAGUFULI SAUTI, MAGUFULI HOI KWA KICHEKO

 
Wewe jamaa hujawahi kusifia jambo lolote la Magufuli, unautesa sana Moyo wako.
Kwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!

Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom