Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Miye sina wakili mkuu, pia kutolewa kucha bila ganzi kuweza.shosti yake au mume wake?
Miye sina wakili mkuu, pia kutolewa kucha bila ganzi kuweza.shosti yake au mume wake?
Hii Nchi ni ya Kusadikika!!Mwezi wa nane kunanini?
Kweli nchi hii ni ya kusadikika. Huyu mbunge anaye hama chama kabla ya August 03 kipindi hiki kilichobaki cha July mara paaaa! bunge linaitishwa atakuja kama naniHii Nchi ni ya Kusadikika!!
Alisikika Mama mmoja akiwauliza "mbona mnashangilia sana au kwasababu mtaendelea kuwa Wabunge mpaka Agots" mwisho wa kunukuu
Hiyo ndiyo Tz
Kwanini azikwe kibunge wakati sio mbunge na ashahama chama? Au hata mbunge 2015-2020 ambae 2020-2025 sio mbunge akifa atazikwa ktk protocol za kibunge?Atazikwa kibunge, ila sio kwa 100% kwa protocol za kibunge
Zimebaki hadhi za ubunge in case kutatokea dharura lkn ukomo wao umefikaMwezi wa nane kunanini?
Kama una uelewa kwanini unastusumbua humu?Ninayaelewa sana ,
Wabunge waliohama chama jee? Na hii ilitokea 2020? 2015?Zimebaki hadhi za ubunge in case kutatokea dharura lkn ukomo wao umefika
Sikusumbui nataka nikueleweshe na wewe usiwe unaishi kama lizombiKama una uelewa kwanini unastusumbua humu?
Hizo sio nafasi za kudumu ninafasi za uwakilishi zinazodumu kwakipindi cha miaka mitano tu.Sasa huo mwaka wa majaribio yatafanyaje kazi kwenye jambo lakuwakilisha wengine kwa nafasi ya muda mfupi.Sheria na taratibu zinazotumika kumpata mgombea niza chama husika kumchuja mwanachama wao anayegombea hiyo nafasi,chama kikishamchuja kinamleta kwa wananchi wachague mmoja kati ya waliopitishwa na vyama vyao akawawakilishe.Mtu akiahama chama kwa nia ya kugombea uongozi akae kwenye chama husika alichohamia walau mwaka apimwe.Hata makazini kuna probation time bila kujali nafasi yako