Sheria inasemaje kwa wabunge wanapohama vyama vyao kipindi hichi?

Mwezi wa nane kunanini?
Hii Nchi ni ya Kusadikika!!

Alisikika Mama mmoja akiwauliza "mbona mnashangilia sana au kwasababu mtaendelea kuwa Wabunge mpaka Agots" mwisho wa kunukuu

Hiyo ndiyo Tz
 
Hii Nchi ni ya Kusadikika!!

Alisikika Mama mmoja akiwauliza "mbona mnashangilia sana au kwasababu mtaendelea kuwa Wabunge mpaka Agots" mwisho wa kunukuu

Hiyo ndiyo Tz
Kweli nchi hii ni ya kusadikika. Huyu mbunge anaye hama chama kabla ya August 03 kipindi hiki kilichobaki cha July mara paaaa! bunge linaitishwa atakuja kama nani
 
Atazikwa kibunge, ila sio kwa 100% kwa protocol za kibunge
Kwanini azikwe kibunge wakati sio mbunge na ashahama chama? Au hata mbunge 2015-2020 ambae 2020-2025 sio mbunge akifa atazikwa ktk protocol za kibunge?
 
Mtu akiahama chama kwa nia ya kugombea uongozi akae kwenye chama husika alichohamia walau mwaka apimwe.Hata makazini kuna probation time bila kujali nafasi yako
Hizo sio nafasi za kudumu ninafasi za uwakilishi zinazodumu kwakipindi cha miaka mitano tu.Sasa huo mwaka wa majaribio yatafanyaje kazi kwenye jambo lakuwakilisha wengine kwa nafasi ya muda mfupi.Sheria na taratibu zinazotumika kumpata mgombea niza chama husika kumchuja mwanachama wao anayegombea hiyo nafasi,chama kikishamchuja kinamleta kwa wananchi wachague mmoja kati ya waliopitishwa na vyama vyao akawawakilishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…