City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Oh..okay.. sawa mkuu.Mkopo unakatwa kwenye check number,
Sio kwenye akaunti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh..okay.. sawa mkuu.Mkopo unakatwa kwenye check number,
Sio kwenye akaunti
Zamani sio siku hizi wanabadili Sheria kila mara leo hivi kesho hiviSiyo KWELI.
Mtu mshahara wake unaweza kuwa unapitia PBZ ila kwa wakati huohuo akawa na mikopo
NMB, CRDB, NBC et al
Mimi ni mwajiriwa wa umma, masaa machache yaliyopita nilienda kuchukua mzigo bank tofauti na ninayopitishia mshahara na mzigo ukaingia maisha yanaendelea.Zamani sio siku hizi wanabadili Sheria kila mara leo hivi kesho hivi
Mabenki yanayonunua mikopo wanafanyaje?Ni Sheria ya BOT.
Pia ni lazima ukope unapokelea mshahara.
So ukitaka kukopa bank ingine ni lazima uhamishe mshahara kwenye hio bank unayotaka kukopa.
So utafanya kazi ya kuhama bank
Unahama na mkopo wako.Leo mzee wa kulalamika Daily,
Nimechoka na makato ya NMB
Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo,
Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji,
Sijui makato ya Mastercard n.k
Wakanipa fomu yao nipeleke kwa afisa utumishi,
Ndio akanipa majibu hayo
Eti siwezi kuhamisha mshahara kwakuwa nina mkopo NMB,
Nikawauliza kwa sheria gani?
Wakasema NMB ndio wana sheria iyo kwa wateja wenye mkopo...
Je ni kweli kuna sheria inayomkataza mfanyakazi kupokea mshahara wake bank nyingine eti kisa ana mkopo?
#bigUpKenya
Mkuu kuna hela naacha humo wala sijawahi kuta imepungua,huwa napitisha mishara hata ya miezi mi3 bila kuchukua ,nikiangalia salio liko vile vile tu,kuna shida mahala juu yakoSiku acha hata elf 50 humo kwenye akaunti halafu baada ya wiki kaangalie salio
Hayo maaharti ni kwangu tu,Nashauri u some vema mkataba wa mikopo wako,huenda masharti yaliwekwa humo.
Mkuu kuna hela naacha humo wala sijawahi kuta imepungua,huwa napitisha mishara hata ya miezi mi3 bila kuchukua ,nikiangalia salio liko vile vile tu,kuna shida mahala juu yako
Nmb wanahonga maafisa utumishi ili wateja wasikimbie lakini hakuna sheria ya ivyoIla maafisa utumishi kazi wanayo...Mfanyakazi kama huyu ni Kichomi
Rich Dad poor dad
Sio kweli mimi nilikuwa na akaunti NMB nikachukua mkopo NMB unapopita mshahara wangu, nikaenda kuchukua kibunda kingine Barclays Bank na Crdb pia.Ni Sheria ya BOT.
Pia ni lazima ukope unapokelea mshahara.
So ukitaka kukopa bank ingine ni lazima uhamishe mshahara kwenye hio bank unayotaka kukopa.
So utafanya kazi ya kuhama bank
Sema kuna aina nyingi za mikataba sasa kwa upande wa mabenki kuna mkataba unaitwa "Standard Form Contract " maana yake ni mkataba ulioandaliwa na upande mmoja ambao ni benki sasa wewe unaenda kusaini tu.Leo mzee wa kulalamika Daily,
Nimechoka na makato ya NMB
Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo,
Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji,
Sijui makato ya Mastercard n.k
Wakanipa fomu yao nipeleke kwa afisa utumishi,
Ndio akanipa majibu hayo
Eti siwezi kuhamisha mshahara kwakuwa nina mkopo NMB,
Nikawauliza kwa sheria gani?
Wakasema NMB ndio wana sheria iyo kwa wateja wenye mkopo...
Je ni kweli kuna sheria inayomkataza mfanyakazi kupokea mshahara wake bank nyingine eti kisa ana mkopo?
#bigUpKenya
Wanabadilika badilika utaratibu kila maraSio kweli mimi nilikuwa na akaunti NMB nikachukua mkopo NMB unapopita mshahara wangu, nikaenda kuchukua kibunda kingine Barclays Bank na Crdb pia.
Kwahiyo hakuna ulazima wa kuhamisha akaunti ya kupokelea mshahara kwenye benki unayokopa kikubwa dhamana yako ni ajira yako/mwajiri wako.